antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,667
- 130,537
Kuna mazingira Unaweza kuwa na pesa ila hujiwezi kiafya, ukahitaji mtu wa karibu kukusaidia kukupeleka mahali au kwenda kukuletea kitu fulaniKaka nnamirad itakayo nsimamia
Usisahau pia alisema hadindishi vizuri kwa sababu anakula sana nyeto. Bila nyeto huenda angekuwa na mtotoWewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Ni kweli kabisa Ila kuna watu walikufa kwa kukosa msaada wa dharura kwakuwa tu wako pekeyao ndani ya nyumbaKifo ni kifo tu mshana , Ukifa huku ukiwa umezungukwa na watu au Ukifa huku ukiwa peke Yako haiwezi kubadilisha ukweli kwamba umekufa
HANITHI MKUBWAMimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
mwambie neno moja la matumain.Yes bado sana.
Daaaah aiseeee 😂😂😂😂😂Ndio hivyo usiwapotezee Sana hawa vijana min -me na Poor Brain Angalia anayekufaa mjengane. Wakikusumbua wasiliana na mimi kakaako
Duh,Usisahau pia alisema hadindishi vizuri kwa sababu anakula sana nyeto. Bila nyeto huenda angekuwa na mtoto
View attachment 3558758
BlackBoldAlaaah! Kumbe we shoga!!?
Hayo mamlaka ya kuropokaropoka kuhusu mambo ya wanaumme rijali nani kakuruhusu??
Sasa nasema hivi, ulitakiwa upate mume wa kukushughulikia ipasavyo kabla "makebo" hayajalegea.
Sasa na umri huo wa 46+ bado una matarajio ya kudangisha kundu lililo legea.
Naunga mkonoMpaka unaandika hapa...maana yake hauko sawa kiakili, hilo suala linakusumbua
Atakuwa amenichanganya na binti wa zamani!mwambie neno moja la matumain.
Maana anadai huwa mnamkataa?
Najitolea kumfanyia counselling nikiwa na vifaa maalum asantePoor social development kumbe ndio sababu, unahitaji serious counselling toka kwa psychologist au psychiatrist anayejua kazi yake sio hawa wa kudesa
Kuna wale wenza hufariki wakiwa wazeee na umri mkubwa, nao hawa unawaambiaje??Fainali uzeeni mkuu; na kwa umri wako hauko mbali na fainali.
Vv
Asili yake wapi bwashee ? Huyo tatizo lake ni kuwa wadada wanamnyima
CatWanamnyima nini
Sijamaaanisha nina miaka 35, nimemaanisha kwa mwanaume kuoa akiwa na miaka 35 siyo mbaya, ila isizidi 35, kwa wewe mwenye 32, oa hata mwakani.Hiyo hali wewe haikupi shida kuona umechelewa
Ikizidi itakuaje?Sijamaaanisha nina miaka 35, nimemaanisha kwa mwanaume kuoa akiwa na miaka 35 siyo mbaya, ila isizidi 35, kwa wewe mwenye 32, oa hata mwakani.
Watibeli ni wakina nani?Okay.
Sisi wanafalsafa tunasema Attractions is dynamic
Suala la time ni factor muhimu na yalazima kwenye mambo karibia yote.
Unaniona mimi.
Naweza kuwa nakuvutia wewe hata kama hukiri na kuvutia wanawake wengine kwa wakati huu. Lakini hali hiyo haitadumu. Ni Jambo la wakati tuu.
Hata humu husikii watu wakisema au wakimuambia MTU umepoteza ushawishi au mvuto. Sio kwamba amepoteza bali muda umempita.
So binti Yangu, kama bado hujaolewa, lakini vijana Wana sarandia, huu ndio wakati wa kufanya best choice. Pakiwa na machaguo mengi.
Siku sio nyingi rate itapungua na watabaki kukufuata wale wasio na vigezo unavyovitaka.
Ikiwaka unamulika. Ikizima unapapasa. Ndivyo watibeli tulivyo