Bora kuwa single!

Ukiona hautakiwi ujue huna mvuto. logical ipo hivyo.
Watu hutaka wale wanaowavutia.
Kuna mvuto WA kimaumbile,
Mvuto wa vipaji
Mvuto wa kazi na kipato.
Mvuto wa nguvu au cheo.

Inawezekana vipi MTU akakosa yote hayo?
Enheee mi nawaambiaga marafiki zangu labda uwe umelogwa kwenu, ila katika hali ya kawaida utashindwaje kupata mtu?
 
Make us understand…. ukipata muda fungua uzi, Sir!

Okay.
Sisi wanafalsafa tunasema Attractions is dynamic
Suala la time ni factor muhimu na yalazima kwenye mambo karibia yote.

Unaniona mimi.
Naweza kuwa nakuvutia wewe hata kama hukiri na kuvutia wanawake wengine kwa wakati huu. Lakini hali hiyo haitadumu. Ni Jambo la wakati tuu.

Hata humu husikii watu wakisema au wakimuambia MTU umepoteza ushawishi au mvuto. Sio kwamba amepoteza bali muda umempita.

So binti Yangu, kama bado hujaolewa, lakini vijana Wana sarandia, huu ndio wakati wa kufanya best choice. Pakiwa na machaguo mengi.
Siku sio nyingi rate itapungua na watabaki kukufuata wale wasio na vigezo unavyovitaka.

Ikiwaka unamulika. Ikizima unapapasa. Ndivyo watibeli tulivyo
 
Anhaaaa sawasawa…
 
Hayo ni maisha yako uliyoamua kuishi lakini huko mbeleni usije ukasumbua ndugu kukulea. Utakapofika 60 utaelewa maana ya kuwa na familia.
 
So hata watoto huwataki, hawana faida?
 
Fainali uzeeni mkuu; na kwa umri wako hauko mbali na fainali.

Vv
Una uhakika Gani kwamba watoto utakao wazaa Wataishi mpaka pale utakapo kuwa Mzee !?

Maisha ni kitendawili unaweza ukazaa /ukazalisha watoto na wakaishia kufa ujanani

Pia Kuna watu wamezaa watoto lakini Waka watenga na wazazi wao ,

So kama unazaa wewe zaa tu kwaajili ya kuendeleza human race lakini usizae kwaajili ya watoto wake wakusaidie baadae maana maisha ni fumbo
 
Tuna familia hatuna stress zaidi ya furaha. Si kila mwanaume anaweza kuwa na familia (kuwa baba bora). Anyway furahia maisha yako...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…