Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

Bora kufa kuliko kuishi ukiwa masikini

hapo nazungumzia uhalisia wa maisha ya watu wengi wanaoishi ndani ya umasikini
Mimi naamini asilimia zaidi ya 80 ya Watanzania (kwa mfano) wana uzoefu au wanaishi maisha ya kimasikini.Lakini,wapo na wanaendelea kupambana Milo,mavazi na malazi hivyohivyo.Kwa hiyo,sidhani kama kuna ugeni sana kwenye maisha ya umasikini kwa watu wengi.Usiogope.
 
Umaskini si laana, ni hali ya muda tu. Kuwa masikini hakumaanishi kuwa maisha yako hayana maana au thamani. Hali hiyo inaweza kuumiza, kudhalilisha, au kufanya maisha yawe magumu, lakini bado uhai ni nafasi ya kubadilisha, kujifunza, na kupambana. Kila mtu ana nafasi ya kuleta mabadiliko – kwa juhudi, busara, na subira. Laana halina nguvu zaidi ya ile unayoikubali; maisha hayapimwi kwa mali, bali kwa uwezo wa kusimama hata baada ya kushuka.
Umasikini ni laana, hakuna cha hali ya muda wala hali ya kudumu. Hakuna masikini anaaminiwa na ndio maana hata hekima ya maskini yaonekana kama upumbavu hata kama una sound good
 
Mimi naamini asilimia zaidi ya 80 ya Watanzania (kwa mfano) wana uzoefu au wanaishi maisha ya kimasikini.Lakini,wapo na wanaendelea kupambana Milo,mavazi na malazi hivyohivyo.Kwa hiyo,sidhani kama kuna ugeni sana kwenye maisha ya umasikini kwa watu wengi.Usiogope.
Ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo
 
we usikie tu umasikini
Ngoja Ni Ku Jibu VIZURI Kidogo ....

Hata kama unasikia umasikini, usiruhusu uwe kikwazo cha thamani yako. Umaskini ni hali, si utambulisho. Maisha yanaendelea kwa wale wanaoendelea kutafuta, kupambana, na kustahimili – hata wakati kila kitu kinaonekana kushindwa.
 
Sio rahisi kama unavyoongea
 
Back
Top Bottom