InawezekanaAsee Wame pigwa za Uso Mapema Sana... Mara Paaaah...utashangaa CHAUMMA Ina wabunge 20...
Watu walidanganyea na akina mrema, na wameshtuka wenzao wamevuta mpunga mrefu wenyewe wanapewa pesa za kununulia wali maharage😂Katika kuzunguka kwako mkuu ulishawahi kutana na mtu yyte anayezungumzia CHAUMMA???
Hao watu wa kujaza hata ukumbi w bar unawapata wapi hapo???
Viongozi hata kutunga slogan wameshindwa ?
Pombe siyo chai
Hata mikutano ya ndani watakosa watu labda waalike bodaboda na wawalipe posho!Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Wafanye mikutano ya hadhara ila kabla ya mkutano wawe wanagawa sahani za ubwabwa kwa wananchi watapata nyomi la kutoshaMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
John mrema hajawahi kuitisha mkutano popote pale watu wakaenda kumsikiliza. Yeye alikuwa msemaji. Shida yake akajikuta anajivalisha umaarufu asiokuwa nao. Na kusahau taasisi!Watu walidanganyea na akina mrema, na wameshtuka wenzao wamevuta mpunga mrefu wenyewe wanapewa pesa za kununulia wali maharage😂
Mwembe Togwa iringa hii🤣😂
Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Wewe uliona wapi chama cha siasa katika nchi inayoendeshwa kidemokrasia bila kufuata dini kilazimishe wanachama waamini Mungu?Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
naona wasukumu wamehudhuria kwa sura ya ng'ombe🤣🤣
Picha muhimu sanaaMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo