Mbona mmesema hakukuwa na umati?
Mbona mmesema hakukuwa na umati?
Huo hapoMbona mmesema hakukuwa na umati?
Naona ng'ombe...wameamua kuwajazia umati kwa kuwarushia taulo..c kwa hyo aibuHuo hapo
Sawa. Lakini nikuulize, unafikiri nyomi ya Chadema onamaanisha Chadema inakubalika!?Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Hao watu wachache wako wapi, acheni uzushi na kuokoteza vt vya kipuuzi km kawaida yenuMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Kusimika chama kikawa na nguvu sio lelemama, kwanza unahitaji kuwa na watu wenye ushawishi kwenye jamii.Katika kuzunguka kwako mkuu ulishawahi kutana na mtu yyte anayezungumzia CHAUMMA???
Hao watu wa kujaza hata ukumbi w bar unawapata wapi hapo???
Viongozi hata kutunga slogan wameshindwa ?
Pombe siyo chai
Nimemsikiliza kigaila akihutubia . Sasa mbona anachosema ni ujinga!?Kusimika chama kikawa na nguvu sio lelemama, kwanza unahitaji kuwa na watu wenye ushawishi kwenye jamii.
Pili walioenda chauma waliaribu sana kutangaza kwamba nia yao ni kugombea ubunge ,wananchi sio wajinga, aya yatawakuta na vyama vingine huku bara kama ACT