Dear huko ni kuuliza majibu, ni wewe tu Mungi
Waoooow thanks my Lily Flower................ unajua nilikuuliza kwa sababu Arushaone alikuwa ananinong'oneza......... thanks umefafanua
Waoooow thanks my Lily Flower................ unajua nilikuuliza kwa sababu Arushaone alikuwa ananinong'oneza......... thanks umefafanua
Anakunong'oneza nini anataka akuwekee maneno mdomoni?
Nataka nimpose binti wa Mungi tu wala usitie shaka Lily Flower. Keep your finger crossed waweza kuwa mama mkwe wa kambo soon!
hier chit-chat Narren ist Narrheit, eine Smart Weng als nur Unwissenheit hier vorstellen lol ich weiß es nicht genau das ist, was du dir Menschen im Besonderen denken.
Nani wa kunibana jamani sweetheart! Mimi ni wako wa milele na ustaarabu ni kuwa na mimi peke'angu!
Nataka kujua Zion Daughter anatoka na nani? Marry Hunbig je yuko na nani? stevoh alifanikiwa? Vile vile natamani Amyner ajitokeze amtoe Erickb52 kwenye lindi la mawazo, ingawa itakuwa kikwazo kwa Kipipi.
Bado nipo nipo.lkn kuna mtu humu natamani nitoke nae lakn naogopa kumtaja...si unajua sio maadili kwa mdada kulianzisha..