BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Sasa unaenda kuwauliza akina katerero wanajua mila ya kwenu?

Ba'mkwe usijali kuhusu KakaKiiza! Yeye ni mzaramo pyua. Unatishwa na ID? Zinaficha mengi sana unaweza ona 'MANKA' kumbe ni mzungu au muhindi. Shaka ondoa.
 
Last edited by a moderator:
Natamani nitoke na Mary Hunbag ila sijui anafikiria nin!! Mama wewe njoo nimejaribu sijui utanjibu au umeshachukuliwa.
 
Ba'mkwe usijali kuhusu KakaKiiza! Yeye ni mzaramo pyua. Unatishwa na ID? Zinaficha mengi sana unaweza ona 'MANKA' kumbe ni mzungu au muhindi. Shaka ondoa.
Mimi wangu niyuleyule nivea please nawaombeni nipo chini ya nyayo zenu uzuri mimi sijairudisha kwa kova shauri yenu!!maana kuna mtu umu anajiita eti Bigirita
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom