Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
- Thread starter
- #101
Sijui Mamzalendo atatoka na member gani humu. Eti mrembo utatoka na member yupi humu?
Last edited by a moderator:
Filipo unajua Marry Hunbig anenda ki-baibobaibo nami naenda kindyofundyofu, wapi na wapi hii? Kaizer atampiga tafu kibaibo.
A1 ndo kusema umekataa bukingi yangu kimtindo!?? si nilikuambia nipo singo??? basi niitie shem yangu Kaizer nitoke nae.. haidhuru kutoka na shemeji...
Nani yupo single nimpe hifadhi ya 'muda'..???
haya wale wenye hasira juu yetu, haraka wakamate mop, wawahi ziwa tanganyika wakadeki ziwa, lol!
Mie naogopa paka kweli yani...Mambo vipi lakn?? mzima weye??dah mi nina rangi ya lami nini mbona hamnioni??
Mie naogopa paka kweli yani...Mambo vipi lakn?? mzima weye??
Mie mzima namshukuru Mungu...Basi nimekubuku rasmi..ur taken from now on.hahahah usiogope paka huyu hata maziwa hapendi,
mi buheri wa afya sijui wewe
nakuona tu unavyonichokonoa! We haya we!aahh cacico unajidai dai na asprin wako, ngoja tumfanye piriton.... Akamsaidie figaniga kapata mafua uvinza
hahahah usiogope paka huyu hata maziwa hapendi,
mi buheri wa afya sijui wewe
nakuona tu unavyonichokonoa! We haya we!
Hujambo wewe!
Mie mzima namshukuru Mungu...Basi nimekubuku rasmi..ur taken from now on.
Wewe ni me / ke?
Filipo unajua Marry Hunbig anenda ki-baibobaibo nami naenda kindyofundyofu, wapi na wapi hii? Kaizer atampiga tafu kibaibo.