Bongo Star Search ni janga la kitaifa

Bongo Star Search ni janga la kitaifa

Tatizo kila wakosoaji wengi wanaothubutu wachache

Hapo tuko pamoja. Ila mimi huwa naamini kwamba mtu anakosa haki ya kulaumu na kulalamika kama yeye mwenyewe hawezi kufanya hicho kitu na kama kipo ndani ya uwezo wake au kama hatimizi wajibu wake.
 
The problem is hili shindano limeshachukuliwa kama comedy kwa watazamaji wengi majumbani so unakuta washiriki wengine wanaenda kama kuonesha ukatunisha Sasa hii inawakera majaji.

Na kuja watazamaji wanapenda sana hizo swaga. Kama lingekosa mvuto waandaaji wangelazimika kubadilisha mbinu.

Bado nawashauri wasiolipenda waanzishe lao.
 
Nakubaliana na wewe. Ila unadhani dawa ni kulalama hadi Yesu arudi?

Na je, matajiri wote wa bongo wamezaliwa kwenye familia tajiri? Na wote ni wanawake waliopata utajiri kwa kuuza miili yao? Na hakuna warembo maskini?
Ulishasikia kibwagizo cha Julie Robert? .....''If you have the V and brain, you can tame any man in this globe''

Ni muhimu kuwashimu akinamama waliothubutu hata kama wametanua sana miguu yao kufika hapo walipo.


Hapo pa red, hapana! Sitawaheshimu. Warembo ambao ni masikini hawakutaka kutumia urembo wao ku-seize opportunities-how? Kwa kutanua? Kutanua sikuheshimu!
 
Nampenda salama.....huwa namuona judge Ian wa TPF....through salama...kama huridhiki fungua yako.teh teh
 
Na kuja watazamaji wanapenda sana hizo swaga. Kama lingekosa mvuto waandaaji wangelazimika kubadilisha mbinu.

Bado nawashauri wasiolipenda waanzishe lao.
Hapana DC, hatuwezi kila usichokipenda unaanzisha cha kwako. basi na serikali tungeanzisha za kwetu, mashirika tusiyoyapenda tungeanzisha ya kwetu, dini tusiyoipenda tungeanzisha ya kwetu. Let us give room for improvements. Tunashauri kuboresha! Huyu Salama, anawadhihaki washindani badala ya kuwasaidia with encouragement! This is our argument anyway!
 
Bongo star search raha bhana asikuambie mtu, kwa sababu kuu naangalia shindano lenyewe, pili natazama fikra na iq zao washiriki daah!,burudani kabisa.
 
Kuna mantiki hapa...haipendezi kumkatisha mtu tamaa ukisililiza Wasanii wakubwa watakueleza wengine walitukanwa na ma prodocer kwamba hawajui lkn sasa wapo juu mf diamond baraka da prince,sajna etc
 
Hapo tuko pamoja. Ila mimi huwa naamini kwamba mtu anakosa haki ya kulaumu na kulalamika kama yeye mwenyewe hawezi kufanya hicho kitu na kama kipo ndani ya uwezo wake au kama hatimizi wajibu wake.

Umenena vema
 
dilemma

Vipaji viko vya aina 2 tuu. Kuna kipaji cha kuzaliwa na kipaji cha kujifunza. Wengi wanaoenda palle hawana hata kimoja. Kuimba sio kulegeza mdomo tuu na sauti nyembamba ukasema unaweza. Je unaweza kupangilia mahadhi ya sauti yako na kilebunachokiimba.
Mi nadhanai wangekaa na bakora hasa coz wengine wanaenda kufanya mzaha na kuonekana.

Unaweza kututajia japo wawili tu waliopita Bongo Star search na wakaendelea na muziki na ku-shine mpaka leo?
 
Hivi pale vijana wakuja kudhalilishwa au kushindanishwa na kutiwa moyo kiushindani
 
dilemma

nafikir majaji hasa Master J na Salama hawana maadili ya ujaji. Ndio maana badala ya kumsikiliza msanii na kutoa maoni yatakayomjenga, wao wanamcheka, wanamkejeli, wanamtukana, kumdharau. hata kama mhusika hajafanya vizuri, si busara, sio hekima kuwakejeli vijana bali wawatie moyo ili akazane zaidi na zaidi.

wanakejeli vijana wanajaribu kuimba wakati wao hawana hata single.
 
Last edited by a moderator:
Umenena kweli madam Lita nia yake in njema lakini kakosea kuwachukua wahuni masta j na salama wanamwaribia
 
Back
Top Bottom