Bongo Star Search ni janga la kitaifa

Bongo Star Search ni janga la kitaifa

kwa namna ya ukosoaji wa hao jamaa,hata wasanii nguli wangeza kuvaa vinyago au kupoteza sura zao tu na kubak na vipaj,saut na kucheza, hakika pasingekuwepo d.mond, alkiba,maria carey n.k.
 
Hivi mtu kama Papaa Mafido na yule mbeba vinyonga wa Arusha unataka wapewe majibu gani?
Halafu labda Salama ila Master J nasikia anesomea sound engineering,
Bongo star search naipenda huwa inanipa burudani sana.
 
Papaa mafido
 

Attachments

  • 1439801228628.jpg
    1439801228628.jpg
    30.2 KB · Views: 255
  • 1439801244508.jpg
    1439801244508.jpg
    25.2 KB · Views: 233
  • 1439801259263.jpg
    1439801259263.jpg
    31.6 KB · Views: 224
Kwani ni lazima wasifiwe?vijana wanapikwa acha wenye kazi zao waendeleze kama wewe ndio umetemwa au mdogo wako isiwe chanzo cha kuwachana wahusika hapa Jukwaani.
 
hako ni ka mradi ka kupata pesa toka kwa wadhamini tu lkn kuendeleza au kufukua vipaji vipya noooooooooooo
 
niltaka kumsahau ndo hapo kwenye mashaka maana naye hukuwa mshindi wa kwanza..Mimi walakin wangu ni pale washindi wao kuto fanya vile ilivyokusudiwa maana hupewa karibu kila kitu mpaka promo sasa kwanini hawa zai matunda??

Me nafikiri uwezo wao wa kuandika mashairi ya kuvutia ni mdogo sana labda wawe wanatungiwa nyimbo then wao kazi yao imekuimba tu.
 
dilemma

Salama Jabir si mwanamuziki na hajawahi kuwa mwanamuziki, Master J ni dj japo anajiita a producer. So in theory hawana lolote. Tatizo kubwa la watanzania huwa tunapenda sana kuiga watu na vitu toka nje bila hata uzingatiaji. Hii star search mimi ni muda mrefu huwa siiangalii hata kidogo, ni upuuzi mtupu.

Acha uongo. Master J hajawahi kuwa DJ.
 
Mkuu, kuna wengine huwa si tu kwamba wanastahili kuambiwa maneno ya kejeli bali ingewezekana hata kulambwa vibao kabisa. Unakuta mtu analeta utani kabisa na kazi za watu, unajua huwa kunakuwa na watu wangapi wanaofanya audition? Ukianza kutaka kumsikiliza kila mmoja halafu umpe moyo hata kama unaona kabisa kuwa anapoteza muda hiyo itakuwa show au counseling center? Mbona wapo wengi tu ambao huwa wanaambiwa na Salama au J kuwa kafanye mazoezi zaidi halafu ujaribu mwakani?

Kuna wakati tough love inatakiwa ili mtu aelewe. Mbona hata show za mbele zina majaji kama hao mfano American Idol (Simon Cowell), Tusker Project Fame (Ian) etc.
 
Mi ndo ningekuwa mmiliki wa BSS ningeweka na askar wa kukamata wazembe maana kuna wengine wanaenda kuleta masihara.

Ila kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndio inazidi kupoteza mvuto kwanza kwa sie naona wanatupotezea muda bora wangetuachia ile tamthilia yetu pendwa tuendelee kuitazama .
 
Mkuu umegusa penyewe; Ninachokiona ni kuwa wale jamaa wanawafanya wasanii waogope na wajione sio kitu kwa maneno yao ya shombo... Hawajui kuwa ile steji huwa ina presha sana hasa kwa mtu ambaye hajawahi kuimba mbele ya jopo... Angalia wakiwa nje kwenye maandalizi ambavyo huwa wanaimba vizuri, tena kwa pamoja na kwa mpangilio, ila mtu akiingia mule tu hakuna kitu.

Kingine ni kuwa kutokana na nafasi zao maneno yao yana nguvu sana kwa wasanii, fikiria mtu kama Master Jay ambaye ni prodyuza anakuambia rudi ukalime... Unaweza kurudi kweli kumbe tatizo lako kwa siku ile lilikuwa kutojiamini.

BASATA waangalie hili aisee!
 
Huyu lazima kapigwa chini anakuja kuleta malalamiko hapa
 
Ila kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndio inazidi kupoteza mvuto kwanza kwa sie naona wanatupotezea muda bora wangetuachia ile tamthilia yetu pendwa tuendelee kuitazama .

Hiyo ni kwel kabisa. Yan kila mwaka mshindi hatoboi tena kwenye tasnia ya mziki.
 
Kwa hili ulilosema, nilitegemea mjadala ungefungwa watu wangeenda kuandaa shindano lao.

Watz tuna safari ndefu sana.

Unajua watanzania tunalia lia sana kiasi kwamba huwezi kujua tunaweza nini na kipi hatuwezi.
 
Dar City, to seize opportunity is not simple! Unaanza vipi kama unatoka katika familia masikini kama za kwetu! Hawa unaowaona kuna mahali walianzia tena usiseme kama ni wanawake- men are at work. Ila nakubaliana na wewe kuwa na mawazo mbadala na kuwa na wazo la kukattaa udhalilishaji. Kama ulivyosema ni vizuri kuwa-encourage vijana kuthubutu. Jay na Salama ni wadhalilishaji wa vijana masikini wanaotafuta pa kuponea

Nakubaliana na wewe. Ila unadhani dawa ni kulalama hadi Yesu arudi?

Na je, matajiri wote wa bongo wamezaliwa kwenye familia tajiri? Na wote ni wanawake waliopata utajiri kwa kuuza miili yao? Na hakuna warembo maskini?
Ulishasikia kibwagizo cha Julie Robert? .....''If you have the V and brain, you can tame any man in this globe''

Ni muhimu kuwashimu akinamama waliothubutu hata kama wametanua sana miguu yao kufika hapo walipo.
 
The problem is hili shindano limeshachukuliwa kama comedy kwa watazamaji wengi majumbani so unakuta washiriki wengine wanaenda kama kuonesha ukatunisha Sasa hii inawakera majaji.
 
Back
Top Bottom