Hao Master Jay na salama wamesoma wapi huo muziki? Ni wahuni kama wahuni wengine tu wenye njaa kama ilivyo ada Bango!
Nampenda sana Salama, hakika asipokuwepo judge km yeye bongo star search itakufa.
Hakuna mambo ya kubanabana pua,
Kala Jeremiah, Menina La Diva, etc Ooops but wengi waliovuma sio wale washindi
Hivi Kuna msanii anayevuma ambaye ni zao la BSS
only Kala wengine wote na walio pata milioni hamsini hawajulikani
Msechu pia ni zao la BSS. Cha kushangaza wale washindi wa Mil50 huwa wanapotea fasta sana kwenye game....Kumbe Msechu sio zao la BSS, ni Tusker what waht ile ya Kenya.............
Kumbe Msechu sio zao la BSS, ni Tusker what waht ile ya Kenya.............
Ulitaka wasifiwe hata kama hawana uwezo wo wote wa kuimba?
Hizo sifa zisizo na mpango ndizo zinazowalegeza watanzania.
Mimi huwa naangalia na kuna wengine wanaimba kama kobe, wengine kama ngamia na wengine hawana hata idea nini wanatakiwa kufanya. Sasa wapewe sifa za nini?