Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Daah afu huwezi amini nilitaka nikuite, sijui nini kikanipitia. Tusamehe tu bure, na burudani iendeleeYaani nyie watu wabayaaaa, hata kuniita!
Daah afu huwezi amini nilitaka nikuite, sijui nini kikanipitia. Tusamehe tu bure, na burudani iendelee
Baba yako nayeeee! Uzi kama huu alitakiwa kuwaita wadau, sasa yeye kaufungua katuliaa mnajadiliana wewe na yeye tuuu!! Hajui hili jukwaa halitembelewi sana!!
Nilituma wajumbe wakuite mtt Mzuri..Uenda waliuwawa
Baba yako nayeeee! Uzi kama huu alitakiwa kuwaita wadau, sasa yeye kaufungua katuliaa mnajadiliana wewe na yeye tuuu!! Hajui hili jukwaa halitembelewi sana!!
Hahahaha me nilimkuta tu huku kibahati anapiga story alone. Nikasema ngoja nimchangamshe mzee wangu asiwe mpweke. Itabidi tuwaite na wadau wengine, maana na hii ndo week ya nenda kwa usalama
Na kweli me mwenyewe hili jukwaa Mmh inatokeaga tu mara moja moja kuingia. Kwa hiyo huu uzi hadi uonekane mmhKhaaaah!! Mie sikujua kabisa kama kuna huu uzi, leo kama bahati tu naingia huku nashangaa kuukuta!!
Yaani umeniudhi hujui tu, nilikuwa natamani sn hiki kitu, kama kipindi kileeeee, tokea auditions maana mie nilishacheka mpaka basi, sasa wewe ukaanzisha alafu ukakaa kimya jamani.
Mmh daddy mbona kufanana tastes? Frida ndo my favorite kwa upande wa wadada. Ingawa angel huku mwisho ameshine sana kupita frida, but still namkubali zaidi FridaHuyu dada nilimpenda toka kwenye usahili..
Mmh daddy mbona kufanana tastes? Frida ndo my favorite kwa upande wa wadada. Ingawa angel huku mwisho ameshine sana kupita frida, but still namkubali zaidi Frida
Na kweli me mwenyewe hili jukwaa Mmh inatokeaga tu mara moja moja kuingia. Kwa hiyo huu uzi hadi uonekane mmh
Najua hasira zako ntazimaliza wapi..Ni swala la muda tu..
Huwezi amini..uwa naenjoy auditions zaidi kuliko hata hizi hatua za mbele..kule ni vituko aisee
Hahaha me tumetoka kugombana na my best friend eti hampendi frida mweee, nimemwambia tutapingua urafiki tehBasi huyo frida mama ako ndo hataki hata kumsikia..Sijui ndo wivu..
Yeah Angel huku mwisho amejitahidi sana..Halafu ana advantage coz anaweza kuimba na kuchana.Na uwa nazipenda fujo zake kwa stage..
Ila frida nae ni habari nyingine
Especially washiriki wa dar ndo wenye vituko wengi. Auditions wanajitokeza wengi sijui kuuza tu sura. Yani huwa nacheka sana khaaaHata mimi huku daaah hadi sikumbukagi kama kuna jukwaa la hivi.
Oooh afadhali, hapo tu ndipo ninapokupendea.
Hata mimi napenda auditions zaidi, yaani nachekaga kama mwehu, najiuliza hivi watu wanaendaga wakiwa serious kabisaaa au ni kuchekesha tu wenzao.
Huyu angel merry nilisoma naye mount meru university ila sijui alikua anasomea nini.