Bongo movies...

Dah,Jambazi lazima avae koti lefu na miwani nyeusi!
 
-movie inapoanza tu tayari unajua itaishaje.
-asilimia kubwa ya movies lazima kuna harusi au msiba.
-scene inaonyeshwa kuanzia mtu anaanza kula, anashushia na maji, kama ni shughuli speech nzima inaonyeshwa.
-halafu Ray hata kushangaa hadi asome script, utamsikia mama weee ile ya kusoma kwa karatasi
 

Hahahaa..duh hiyo ya kushangaa kwa script noumaa..
 
Kabla ya movie..matangazo kibao!!!
 
Anayesimulia story yake lazima flashback ziwepo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…