Bongo movies...

Boonge la jumba wanaishi mme na mke na mlinzi wa geti tu ht housegirl hakuna lkn kila siku safiiii
 
kwenye FAKE PASTOR, kidogo wamejitahidi, SIJUI SABABU KUNA MKONO WA SHIGONGO???
 
M.E.M.A umeuaaaa!!!! Bwa ha ha ha haaaaaaaaa,
 
Jamani hizi muvi za bongo wangechukua hizi weakness wajirekebishe,
ila hili jukwaa limenifurahisha leo ic.!
 
JB anavaa shati moja kwenye movie sita.

Teh! Teh! Teh! Umenivunja mbavu kwakweli imebidi niweke movie yake moja ili kuprove...Hahahahaaa ni kweli aisee, but tumchukulie poa jamaa size zake za nguo ni design "PEPE KALE" ss atazipata wp za kuchange kila wakati??
 
hahahaaa.. kuna bingwa mmoja(name with held) tangu anunue ka OPPA, basi hakodi tena magari... movie zote anatumia gari hilo hilo tu..
 
jambazi anavua viatu mlangoni
 
Teh! Teh! Teh! Umenivunja mbavu kwakweli imebidi niweke movie yake moja ili kuprove...Hahahahaaa ni kweli aisee, but tumchukulie poa jamaa size zake za nguo ni design "PEPE KALE" ss atazipata wp za kuchange kila wakati??

Umetizama moja au sita
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…