me naonaga damu kama tomato
Maneno ya kuongea yanazidi uwingi yale ya subtitle!
umenikumbsha hiyo muvi jaman ina waigizaji ambao hawana vpajiWanaongea utadhan wanasoma kwenye karatasi:
Cyndi: Makala je unanipenda mimi?
Makala: Ndio Cyndi, nakupenda sana.
Cyndi: Makala je utakuja nyumbani leo?
Makala: Cyndi la hasha, sitaweza kuja nyumbani leo.
Kaaz kwel kwel
waigizaji wengi wa mussa banzi wakiongea utacheka yaani km maigizo ya shuleni
Wanaongea utadhan wanasoma kwenye karatasi:
Cyndi: Makala je unanipenda mimi?
Makala: Ndio Cyndi, nakupenda sana.
Cyndi: Makala je utakuja nyumbani leo?
Makala: Cyndi la hasha, sitaweza kuja nyumbani leo.
Kaaz kwel kwel