Bongo movie walikosea hapa

Bongo movie walikosea hapa

Usikute ni bongo movie pia nayeye kwani wao unadhani hawatumii JF
Kweli eti eeh! Maana sio kwa kujibabadua kiasi kile. Raha ya Jf ni zaidi ya chaka...huenda hata yule jamaa mwenye nundu kichwani kwa mbele tunae humu! Halafu mie nahisi ile nundu huenda ina wadudu wanaomfanya aongee bila mpangilio dhahiri.
 
Bongo Movies wenyewe hawajajua tatizo lipo na wala nyie mnaojifanya wachambuzi wala hamjui tatizo lipo wapi!!

Kama issue ni ku-support CCM; mbona Bongo Flavors wengi wakubwa wana-support CCM tena bila kificho?!

Kwa mfano wakati wa kampeni za 2015; what's so special ambacho kilifanywa na Bongo Movies ambacho hakikufanywa na Bongo Flavor?

Mara ngapi mmewahi kupiga ramli za kupotea wasanii wa Bongo Flavor wanao-support CCM lakini bado wapo pale pale?!
 
Nina bro wangu nae alkua mnunuzi mzuri ila baada ya kuona wanasapoti rangi ya kijani hataki hata kuwaskia
Unafiki uliovuka viwango vya unafiki!! Kuna bidhaa ngapi kila leo mnazibugua ambazo wamiliki wake sio tu kwamba wana-support CCM bali ni wana-CCM moja kwa moja na tena wengine wakitumia ukwasi wao kuhakikisha CCM inarudi madarakani!!!
 
Bongo Movies wenyewe hawajajua tatizo lipo na wala nyie mnaojifanya wachambuzi wala hamjui tatizo lipo wapi!!

Kama issue ni ku-support CCM; mbona Bongo Flavors wengi wakubwa wana-support CCM tena bila kificho?!

Kwa mfano wakati wa kampeni za 2015; what's so special ambacho kilifanywa na Bongo Movies ambacho hakikufanywa na Bongo Flavor?

Mara ngapi mmewahi kupiga ramli za kupotea wasanii wa Bongo Flavor wanao-support CCM lakini bado wapo pale pale?!
Huyu mshindi wa 2015 kaleta kasheshe sana kila kona kila idara kila taaluma ni shida njaa ukame kwa kwenda mbele..
 
Back
Top Bottom