Bongo movie walikosea hapa

Bongo movie walikosea hapa

Nina bro wangu nae alkua mnunuzi mzuri ila baada ya kuona wanasapoti rangi ya kijani hataki hata kuwaskia
Nilikuwa nawakubali sana ila walipoanza kuishobokea ccm. Nikasema hawa lazima ile kwao. Mpaka sasa movie ambayo ninayo ya kiswahili ngoma ya mwanamalund na kirikou tu. Taka taka zingine za bongo movie sina mpango nazo.
Wakale ccm
 
We nambie wasanii wangap walikua na ccm wanamuziki na badowanafanya vzr katika gem achen mbwembwe bhna msilete siasa zenu za ajabu ajabu kujiona mnajua kila kitu na upinzan ndio kila kitu bongo movie hawajui na mm niliacha kuangalia bongo movie toka afe kanumba mpaka Leo na sio kipindi cha uchaguzi unajifanya mchambuzi kumbe mcha mbuzi
 
Nimenunua into the bad land kwa buku tu na ni bonge la movie na inavyoonekana imetumia hela nyingi kutengenezwa sasa leo hii ninunue movie iliyotengenezwa na watu waliokaa kijiweni kwa laki tano eti mtu anaoga na nguo si ujinga huo
Halafu eti jini nalo linaangalia kushoto na kulia ndo linavuka barabara.
 
Nimenunua into the bad land kwa buku tu na ni bonge la movie na inavyoonekana imetumia hela nyingi kutengenezwa sasa leo hii ninunue movie iliyotengenezwa na watu waliokaa kijiweni kwa laki tano eti mtu anaoga na nguo si ujinga huo
Mtu na akili zako unaanzaje kutoa vihela vyako eti unalipia inayoitwa filamu kwa jina la 'kifo haramu'

Wajinga sana hawa viumbe.
 
We nambie wasanii wangap walikua na ccm wanamuziki na badowanafanya vzr katika gem achen mbwembwe bhna msilete siasa zenu za ajabu ajabu kujiona mnajua kila kitu na upinzan ndio kila kitu bongo movie hawajui na mm niliacha kuangalia bongo movie toka afe kanumba mpaka Leo na sio kipindi cha uchaguzi unajifanya mchambuzi kumbe mcha mbuzi
Nmeongelea bongo movie sasa we umekuja kwenye bongo flava Ila hata huku nako angalia ni nyimbo zipi zinapewa attention kubwa kati ya zinazosifia na zinazoikosoa serikali
 
Kwa hivi karibuni nymbo za kuikosoa serikali ndo zmepewa attention kubwa kuliko nyingine ndiomaana serikali imekataza wasanii kaimba siasa
Hahahahahaaa nambie katika wasanii watatu wanoongoza katika jahaz LA bongo flavour ni nan anaimba nyimbo za kukosa
 
Haupo sasa mkuu kichwan yaan sijaona pumba toka nifungue jf Leo Kama hii yaani kuipenda kwao ccm ndio kumewafanya wadorore mbna Ali kina na diamond wapo juu huku hiyo msanii Wa chadomo msaga sumu kapotea hata hajulikan alipo acha bhangi mkuu bongo movie wamekosa mvuto koz hawana chombo kizur cha kuchuja Sanaa zao kabla hazijaingia sokoni, bajet ndogo , kukosa ubunifu na filam kukosa uhalisia
Ila mm
Mkuu kabla hujaandika kwanza tumia akili na vya kukalia
Unaishi ndani ya jengo la lumumba, umepewa chumba humo.

Msaga sumu ni msanii kipenzi cha watanzania wote ispokuwa wezi wa rambirambi.

Ni msanii kipenzi kutoka ndani ya mioyo na watu hawahitaji promo kwa hilo.
 
Msaga sumu kipenz cha watu wapi na wapi cholo mwamba tumuiteje na moto kombat wazee Wa singeli akina Mani fongo acha bhange mkuu kukosa ubunifu mkuu sio kingine
Hawana ubunifu ndio maana wamepotea unajua mtu anatumia tone moja toka aanze kuimba watu wanatumia tone moja toka waanze kuigiza hwana mabadiliko Nani anapenda vitu visivyo badilika ccm na anguko LA bongo movie ni vitu viwili tofauti mkuu rudi chimbo tafuta sababu mm Kama mwalim unakuja na explanation za namna hii katika essay hata sisahihishi naandika tu op kwa herufi kuuuubwa alaf nakata maelezo yote
 
Ila nadhan 2020 watatulia coz kimbembe walishakiona sepenga akitoa now movie ata support ya kutosha mpk watashangaa
 
Hahahahahaaa nambie katika wasanii watatu wanoongoza katika jahaz LA bongo flavour ni nan anaimba nyimbo za kukosa
Pitia vizuri maelezo yangu hapo juu nadhani unajua kusoma vzur ila hujakazia tu
 
Back
Top Bottom