Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
- Thread starter
- #21
Hivi n'kwanini Raisi wetu anasita kutumia madaraka yake kumaliza mgogoro wa umeme unaotukabili? Matokeo yake wananchi walalahoi wanaendelea kuteseka? Hivi n'kwanini suala hili la kitaalamu linaendelea kugubikwa na maamuzi ya kisiasa?