Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

usipotukana meseji isingemfikia mlengwa!!!!!!!!!!
punguza jazba kijana

Back to topic damu ya mtu haiendi bure,hamuwezi kuwa mnaua watu kwa maslahi yenu
kama ni polisi it means wanatekeleza amri ya mtu fulani,mi naomba Mbowe asichelewe kutoa
huo mkanda if he ment what he was saying
Upumbavu si tusi NISIFA YAKE HIYO!
Mbowe anahusikaje na bomu lakanisani? tunataka muuaji wakanisani na aliyeua padre!
 
Tanzania ni miongoni mwa Mataifafa yenye vyombo imara vya dola,polisi wetu kamwe hawawezi kushiriki mauaji ya raia tena kwa kutumia mabomu,mwisho nawasihi muache tabia ya kutumia social media kupotosha wananchi ambao wanategemea jeshi hilo kwa ajili ya ulinzi na usalama wao,,jeshi letu ni imara na makamanda wetu wamepata mafunzo mazuri,ni wazalendo na kamwe hawawezi kujihusisha na vitendo kama hivyo

ilikuwa zamani si kwasasa nchi ipo hatarini sana pembe za ndovu zinatoka, madawa ya kulevya yanapita hapa na Twiga wanaibwa, ULINZI UPI UNAOUSEMA, watu wanang'olewa meno mapadre wanauwawa na kuumizwa, waandishi wa habari wanauwawa. WE NASEMA VYOMBO VIPI MKUU VYA KULINDA MAFISADI VIPO!
 
Mkuu Mentor sidhani kama unatumia akili yako kwa 50% labda kuna kitu unataka kusema.

KAma ni kwa mantiki hiyo ninaweza kukubaliana na wewe!

Lakini hadi ifanyike hivyo inamaanisha Polisi wote nchini wapo against chadema au kitu kama hicho? #sidhani
 
Last edited by a moderator:
kwani lazima hilo gari litoke arusha?
kwani hjaambiwa wauaji ni polisi ambao sio wa kutoka arusha?
think beyond that kaka
Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..

NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.
 
Aaaaaaaaaaaaaaaa asssssssssssssssssssssssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tendwa, umesikia?, sasa tutegemee utasema nini tena ktk hili, au bado mnasubiri mkanda na kuona uhusika wa cdm
 
Huyu victor mwendesha pikipiki hv mnatuona wajinga mnadhani hatujui kuwa mmemtoa sadaka? tafuteni mhusika acheni propaganda hizo!
inaelekea unawajua wahusika. uwezo wa polisi umeishia hapo. unaweza kuwasaidia kuonesha wahusika
 
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

UtaSCRAMBLE sana mwaka huu!!
 
inaelekea unawajua wahusika. Uwezo wa polisi umeishia hapo. Unaweza kuwasaidia kuonesha wahusika

watanilipa ngapi kama kazi yao inayowafanya walipwe pesa nyingi tena kwa kodi yangu imewashinda!?
Wakiri wameshindwa basi tuwasaidie! Ndo maana tunasema hatuna ulinzi nchi hii!
 
Namtafuta mtani wangu chama aseme kama hiyo namba ya gari ni ya kwetu au ni ya wapinzani
 
Last edited by a moderator:
Mengi yameanza kujulikana baada ya shuhuda aliyemuona mtu aliyerusha bomu kusimulia, akishuhudia chini ya kiapo mbele ya wakili anasema:

Duh! Kwahiyo siku hizi tukiyaona magari ya polisi barabarani itatubidi tuyakimbie! Yaani siku hizi jamaa wamekuwa wabaya kuliko hata Majambazi!
 
we need more details...the who was driving PT 1179 , who ordered that vehicle to be involved in that ill-mission etc. so that we will be able to corner them tightly.
 
watanilipa ngapi kama kazi yao inayowafanya walipwe pesa nyingi tena kwa kodi yangu imewashinda!?
Wakiri wameshindwa basi tuwasaidie! Ndo maana tunasema hatuna ulinzi nchi hii!

huna uzalendo. raia mwema lazima aisaidie serikali kudumisha amani na kufichua maovu.
 
Hilo gari baada ya thread hii litabadilishwa namba haraka sana na kuhamishiwa Biharamulo.
Thats the best our Police force can do with regard to intelligence!
Mkuu kwa hili la Arusha nimekuwa nikisema CCM na Plisi hawachomoki hata wakilihamisha na video zinazo lionyesha na walio msindikiza nao wata wahamisha au watasema ni chadema walikuwa wanalitumia.....
 
alielalamika ni chdm. ccm wakapuuza kwa kusema dalili ni kwamba wamejilipua wenyewe. kama chdm hawalalamiki na hawako tayari kutoa mkanda, basi yaishe. tuendelee na ujenzi wa taifa. amka usingizini dogo!
Watu wameuawa wewe unasema yaishe kesi kama hizi za jinai anayetakiwa afungue jalada ni Jamhuri, Chadema au watu walioona watakuwa mashahidi, kwa hiyo Chadema hawalazimiki na sheria yeyote kutoa ushahidi.
 
we need more details...the who was driving PT 1179 , who ordered that vehicle to be involved in that ill-mission etc. so that we will be able to corner them tightly.
Subira ya vuta .....kila kitu kitaanikwa hakuna longo longo kwenyeupumbavu huu....
 
mmeanza tena umbea mbona zamani au siku zote hizo alikuwa wapi kusema hayo au ndiye aliyeandaliwa kusema hayo.
 
Watu wameuawa wewe unasema yaishe kesi kama hizi za jinai anayetakiwa afungue jalada ni Jamhuri, Chadema au watu walioona watakuwa mashahidi, kwa hiyo Chadema hawalazimiki na sheria yeyote kutoa ushahidi.

watu wameuawa. Mbowe kasema ana ushahidi. ww unasema halazimiki kuutoa hata kuupeleka ofisi za un au kuitisha press conference na kucheza video yake!
 
Back
Top Bottom