Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:

"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Elezea vizuri tuelewe
 
Urusi kwa sasa ni kama paka aliyebanwa kwenye Kona, ... LEFT WITH VERY FEW OPTIONS!
WAMAGHARIBI NI WAZI KABISA WAMO KWENYE VITA YA ANA KWA ANA NA URUSI! ... NA WAMEANZA KUTAMBA KAMA WASHINDI!
... PICHA NI WAZI, YAANI HAKUNA MCHELEMCHELE!
Hebu elezea Urusi imebanwa vipi maana sijui hata kama unaifahamu hii vita vizuri
 
.
JamiiForums-2066617636.jpg
 
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:

"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Upo sahih

Kwa gharama walizotumia west kuifadhili Ukraine na bado hakuna matokeo chanya nadhan pindi siku watafanya maamuz magumu
 
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:

"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Ujuzi ulivyo ongezeka atakae anza kuliamsha litamlipukia mwenyewe!
Ref; Stuxnetworm.
 
Hilo halipo, ondoa hofu, kushambulia kwa nyuklia ndio kitu Putin hawezi kuthubutu kwa sasa maana anajua taifa lake litafutwa kwenye ramani ya dunia, wacha aendelee tu kulemazwa na hako kataifa jirani hapo.....
Siyo kweli hata kidogo kwani pamoja na kwamba urusi ana mabom mengi ya atomic bado yeye ndiye anaeongoza kuwa na rocket engine nyingi za kusafirishia huo mzigo kwenda target na wakati wapinzani wake hasa USA anategemea kuyabemba kwa kutumia Strategic bombers ambazo anazo nyingi kupita zote zilizopo hapa duniani,
Sasa ktk dunia ya leo ndege hasa strategic bombers si rahisi kupenetrate ktk baadhi ya nchi yaani itasanuliwa huko huko kabla haijaingiza pua yake kwenye nchi husika.
 
Kuwa na mabomu mengi ya nyuklia sio issue, suala kuu ni kwamba yote hayo ni midoli, hauruhusiwi kutumia hata moja, akifanya launch ya moja tu inabidi apigwe kwa mkupuo wa kumzuia asiyatumie yote, kasome doctrine ya MAD.
Launch ya nuclear inakua detected ndani ya dakika chache na atashambuliwa hata kabla kombora la kwanza halijatua.
 
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:

"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Lakini wanao miliki mabomu hayo mbona ni wengi tu - kitu gani kinakufanya ufikiri litatumika bomu moja tu katika mapigano haya kati ya NATO na Russia na mataifa mengine yanayo support Russia au unafikiri hayapo.
 
Back
Top Bottom