kuna sababu nyingi za watu kubomolewa mfano kama umejenga eneo la wazi! au eneo ambalo si la makazi....Pole sana Mkuu, Sijui wanatumia kigezo gani sasa?
IWadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
Same to you lawyer....ha ha hamiss strong happy new year!
Kama Hawaja bomoa wahi Mahakamani, hii Serikali ya Magufuli hawazingatii sheria ni kama chizi kapewa runguHawajabomoa bado jana ndio wameweka X
Kuna eneo hatarishikuna sababu nyingi za watu kubomolewa mfano kama umejenga eneo la wazi! au eneo ambalo si la makazi....
Huna hati ntakataa mpaka kesho kama upo bondeni ila ipo sheria mita 60 atauwe na hati kafungie maandaziAchana nae huyo sio wakubishana nae, huku watu wanahati zote na mbali na mto pia sio eneo hatarishi wameweka x sasa mtu anapotaka ligi bila sababu za msingi unaachana nae tu
Kuna vikao vinaendelea ngoja tusikilizie mwisho wakeKama Hawaja bomoa wahi Mahakamani, hii Serikali ya Magufuli hawazingatii sheria ni kama chizi kapewa rungu
In Shaa Allah that's the right wordTuseme inshallah...
Sibishani na wewe, niwe na hati nisiwe na hati haitokusaidia kitu endelea kuamini unachokiaminiHuna hati ntakataa mpaka kesho kama upo bondeni ila ipo sheria mita 60 atauwe na hati kafungie maandazi
Huna hoja hama tuSibishani na wewe, niwe na hati nisiwe na hati haitokusaidia kitu endelea kuamini unachokiamini
JajBondeni hakuna utetezi wewe bomoa tu
Ikinikuta kwa uzembe sintokuwa na wakumlaumu nitajilaumu mwenyewe tu..Usitake kuonekana mwema kwa kutetea uzembeWe Jamaa utakuwa haupo sawa 100%,,ht Kama sisi tumejenga sehemu tunazosema ni halali,, bado haifai kuwaombea wenzio mabaya mkuu,, dunia ni Mapito tu kaka,,,na kwa serikali hii ,hata wewe au Mimi chochote kinaweza tukuta tofauti nakuvunjiwa mabanda yetu,,
Jaj
Ni mbali na mto na mafuruko hayajawahi kufika hata mara moja tangu tuhamie mwaka 1995
Wote tumekuliaa sehemu za kishenzi sehemu zenye ujenzi holela. ...
Ila ewe wewe unaye shabikia wenzako wa bomolewe tambuaa hakuna kitu muhimu kwa mwanadamu kama "shelter"
Hili li nchi lina ardhi kubwa serikali ingewatafutia wananchi eneo jipya na kuwahamisha huko kitaratibu.
Ikiwezekana wawajenge vijumba mfano wa police post,ktk kila kiwanja alafu wawape kila aliyebomolewa