Bomoabomoa imenikuta

Bomoabomoa imenikuta

Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli.

Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi.
 
Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli.

Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi.
Kanuni za sheria za nchi kama zipi?
 
Wahi kutoa bati milango na madirisha. Ikibidi tafuta mafundi ujenzi wachomoe tofali zako. Mbio za mahakamani sio suluhisho.
 
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
pole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele
 
Zinazidi mkuu kuanzia tabata tabata reli, aroma, shule hadi baracuda ukiteremka huku chini ni vilio tu
Sio mchezo aisee. Ni nyingi sana. Jana nilipita kule mchikichini nyumba karibu zote zina X karibu na kiwanda cha bia
 
Back
Top Bottom