Bomoabomoa imenikuta

Bomoabomoa imenikuta

pole ndugu, ila kwa hili la bomoabomoa, watanzanioa wengi wa hali duni wameathirika kwa kiasi kikubwa, hawana pa kwenda na serikali ndo kwanza imefumba macho
Wamezirai kabisa bora wangefumba macho wangefumbua hata jicho moja wakaona shida tunayopata
 
Wewe ni Wastara? Maana na yeye analalamika vivyo hivyo! Timu Kibajaji
 
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
Poleni sana sanaa. Ccm ni mashetani, waliwatumia Wasanii na sasa wamewatupa
 

Attachments

  • 1452075921852.jpg
    1452075921852.jpg
    27.7 KB · Views: 42
Kwa maana nyingine wanaobomolewa wote ni ukawa kwenye sheria hakuna chama
Hakuna cha ccm wala ukawa wote tunaisoma namba, wao waliambulia madela na mafulana na 5000 wakati wa kampeni lakini sasa hivi tunalia wote
 
Hii bomoa bomoa inachefua kweli nina kibanda changu mbagala wasije wakakipitia
 
Mwanzo walisema mita 60 lakini sasa hii zaidi ya mita 600 hawazingatii sheria ni kama wanafanya ushabiki na kukomoana
Wakati wa uchaguzi mliambiwa mita 200 mkalia sana mkataka 0 mita....leo mita 600 mnaona mbali sana
 
Hakuna cha ccm wala ukawa wote tunaisoma namba, wao waliambulia madela na mafulana na 5000 wakati wa kampeni lakini sasa hivi tunalia wote
Sasa sibora wameambulia madela fulana na hela juu wewe vyote umekosa na nyumba inabomolewa juu wewe unaumia mara mbili
 
Inawezekana uko umbali wa mita 60 kutoka kwenye mto lakini ni bondeni mafuriko yanafika. pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom