mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,940
- 132,266
Ndiyo mkuu kila kijumbba 1.2 au 1.5mln (police post type)Chukulia kila kibanda basi milioni 2 hivi nzima nyumba ngapi zitalipwa
Watu wanakosea sawa ila serikali nayo ni sehemu ya makosa hapo,serikali ipo kwa ajili ya wananchi ingefanya vyovyote kuwaweka wananchi ktk hali nzuri kimtindo
Ubomoaji iliyofanyika mkwajuni ndy kwanza umeongeza uwizi,ukabaji, umalaya, wavutaji unga, etc
Hakuna kitu muhimu kama shelter Ukiwa na sehemu ya kulala ah hayo mambo mengine yatakuja taratibu