Bomoa bomoa Moro Road watu wanazimia

Naombeni ufafanuz,zile nyumba zinabomolewa kwa umbali wa mita ngapi?Maana naona X imefika ndanindani kabisa tofaut na zile X za kawaida tulizozizowea?
mita 121.5 mkuu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
WAKUU HIVI MNAFKIRI SERIKALI INAKURUPUKA AU
HUSUSA WIZARA YA MIUNDOMBINU,,,
Hakuna Action ikafanyika bila taarifa kutoka kwa president kutoa saini
SASA HAPO WIZARA HIO MAGU MIAKA25
Doohh hao wacha kuzimia hata walale kabxaaaa
Mbona walivopokea FIDIA HAWAKUZIMIA au walijua ni bado utawala wa mkwere mpoooooole eeenhhh
Hakuna aliyepokea fidia
 
HAKUNA SHERIA YA KUVUNJA BILA YA KUWEKEWA BIKON KABLA YA
KITAFATA KUPIGWA "x"
Baada ya hapo ndio ACTION INAANZA
MKUU FATILIA HILO SWALA HURNDA WENZIO WALISHAVUTA FIDIA KIMYAAA KIMYAAA
sijui, labda bikon za mwaka 1932 maana ndio sheria magu kaifufua
 
Acheni miundo mbinu na Barabara vijengwe kwa gharama yoyote ile. Hatay lijapo suala la ulinzi wa taifa au vita, kuna wote hupoteza viungo au maisha hats katika hili acha iwe hivyo. Tumechoka kuwa watalii wa miundo mbinu na mipango miji kwenye nchi za watu .
Basi jiji la Dar libadilishwe kuwa la miundo mbinu kuishi kupigwe marufuku

Eti miundombinu!!!
 
Kubomoa nyumba zilizojengwa kwenye road reserve sio vibaya ila kunapaswa kuwe na busara.
Kwanini kusiwe na countdown period? Kama ni miezi mitatu, kila siku/week wahusika waambiwe bado siku/wiki kadhaa mpaka ikibaki week moja kuwe na taarifa za daily za gari la matangazo kuwa tarehe fulani tutabomoa usipobomoa ili watu wajiandae.

Sioni kama kuna busara kuwavamia na kuanza kubomoa alfajiri hivi.

Busara itumike kwa kuwa nyumba hizo zilijengwa serikali ikiona na sio ajabu hata wao serikali ndio waliopitisha baadhi ya hati za ujenzi/michoro.

Serikali iwe na huruma na watu wake.
Hamia Dodoma kwa nini mnagangania Dar na kujijengea hovyo hata vyoo hamana mnabanana na kunyea kwenye Rambo, MTU anataka kuwarekebisha mnaleta songi
 
Barabara ya mita 200(viwanja viwili vya mpira kwa urefu wa goli mpaka goli)??
 
120m kutoka katikati ya Barabara, kwa hiyo barabara na reserve yale itakuwa na 240m
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu
 
Acheni miundo mbinu na Barabara vijengwe kwa gharama yoyote ile. Hatay lijapo suala la ulinzi wa taifa au vita, kuna wote hupoteza viungo au maisha hats katika hili acha iwe hivyo. Tumechoka kuwa watalii wa miundo mbinu na mipango miji kwenye nchi za watu .
Ya kwako itabomolewa?
 
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu

Kaka huamini?, mwanzo kabisa ilikuwa mita 60, na ndio alama za mwanzo zilipokuwepo so watu waliokuwa nje ya mita 60 walikuwa safe, sasa iliyotangazwa ni mita 120 unapima kutoka katikati ya Barabara kwenda upande mmoja na kisha upande wa pili ni mita hizohizo

Ofcourse kwa highway yenye njia sita mpaka nane na reserve ni sawa, kwa sababu kwa barabara sita za upana wa say 10m zinakuwa ni mita 60, so kila upande unabakia na reserve ya 60m

All in all sio kitu kibaya kupanua Barabara, lakini watu walipwe stahiki zao kadiri ya thamani ya rasilimali walizoziwekeza katika hayo maeneo kama hiyo vunjavunja inawakuta kwenye maeneo ambayo hayakuwa na plan ya hiyo barabara hapo awali
 
Ok! Kama ni ya more than two lanes!! Mi nilifikiri Ni kama hii ya huku kwetu Lemara
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom