Bomoa bomoa Moro Road watu wanazimia

Ok! Kama ni ya more than two lanes!! Mi nilifikiri Ni kama hii ya huku kwetu Lemara

Kaka ngoja niwekw masahihisho, upana wa barabara hiyo sio 120m bali ni 121.5m kutoka katikati ya barabara kwenda kulia kisha kushoto, hivyo barbara na reserve yake itakuwa na upana wa 243m

Waraka wa kuvunjiwa ndo huo

image.jpg
 
Mabadilikoooooo Magufuriiiiiii, Magufuriiiiii Mabadilikooooooooo

Tulieni sindano iwaingie
 
Hili jambo media hazisemi Ila limeacha majonzi na vilio.

Nimepita nyumba moja nzuri na kubwa ambayo IPO zinapoishia m 121.5 , yaani nyumba hii ndio IPO ukingoni, mwenye nyymba ni mama mjane, na kabla ya tangazo aliikarabati vizuri sana.

imepigwa X, wenyeji wanasema huyu mama alizimia mpaka sana ni kama mgonjwa.

Kuna Mama mwingine kibamba aliuuza maeneo yake yote akabaki na kiwanja karibu na Barabara, nyumba zote zimepigwa X naye hajitambui.

Siku ya bomoa bomoa kutahitajika ambulance za kutosha au watu wahame kabla ya bokoa bomoa maana sijui wangapi watakua radhi kuona najumba yao yakibomolewa kwa sheria ya mwaka 1932.

Kibaya zaidi hata hiyo kesi iliyopelekwa mahakamani na zuio lake sijui kama INA mashiko ..

Kupatwa kwa Watanzania kwa manufaa ya watanzania.

Ninachojua tu ni kwamba...
  • Hakuna haki bila wajibu hivyo wanaobomoa ( Mamlaka ) haifanyi ubomoaji huo Kimakosa kama tuwazavyo
  • Kabla ya Mtu kubomolewa Mamlaka husika hutoa taarifa ( Notice ) angalau ya kati ya miezi 3 hadi miezi 6
  • Wakazi wengi tukiwa tu na Vijihela vyetu vya Ngama tunapenda Kukurupuka bila kufuata utaratibu / sheria
Nadhani ingekuwa vyema sana kama kabla ya kuja kuwaoenea humu huruma hao wanaobomolewa basi ungetumia tu hata muda wako kidogo ili ujiridhishe kutoka Kwao kama hizo Mamlaka husika hazikufanya nao mazungumzo au hawakuwapa muda wa kutosha wao kujiandaa na kuhama. Tufuate Sheria hasa za ardhi na makazi ili tuwe tunayaepuka yote haya.
 
Pole yao
 
Kununua viwanya visivyopimwa kiholelela ndio madhara yake. Alafu kuna kasumba ya watanzania husema eti serikali mpaka ije ijenge hapa ni mwaka gani. Nyingine watanzania bila hata kuuliza hili eneo lina uhalali akiona mtu anamuuzia laki tano anasema nimepata kiwanja. Tujiongeze jamani.
 
Nimepita nyumba moja nzuri na kubwa ambayo IPO zinapoishia m 121.5 , yaani nyumba hii ndio IPO ukingoni, mwenye nyymba ni mama mjane, na kabla ya tangazo aliikarabati vizuri sana.

Kuna Mama mwingine kibamba aliuuza maeneo yake yote akabaki na kiwanja karibu na Barabara, nyumba zote zimepigwa X naye hajitambui.

Hawa wanatakiwa kuhudumiwa na wataalamu wa saikolojia wajue kuwa uhai ni muhimu kuliko nyumba
 
Ninachojua tu ni kwamba...
  • Hakuna haki bila wajibu hivyo wanaobomoa ( Mamlaka ) haifanyi ubomoaji huo Kimakosa kama tuwazavyo
  • Kabla ya Mtu kubomolewa Mamlaka husika hutoa taarifa ( Notice ) angalau ya kati ya miezi 3 hadi miezi 6
  • Wakazi wengi tukiwa tu na Vijihela vyetu vya Ngama tunapenda Kukurupuka bila kufuata utaratibu / sheria
Nadhani ingekuwa vyema sana kama kabla ya kuja kuwaoenea humu huruma hao wanaobomolewa basi ungetumia tu hata muda wako kidogo ili ujiridhishe kutoka Kwao kama hizo Mamlaka husika hazikufanya nao mazungumzo au hawakuwapa muda wa kutosha wao kujiandaa na kuhama. Tufuate Sheria hasa za ardhi na makazi ili tuwe tunayaepuka yote haya.
Hii sheria ya 1932 Nani alikuwa anaijua? Hata hiyo serikali ilikuwa haijui! Mbona becons za mipaka ya barabara haikuwekwa? Ili watu wajue wasijenge? Serikali iwache ubabe
 
Naombeni ufafanuz,zile nyumba zinabomolewa kwa umbali wa mita ngapi?Maana naona X imefika ndanindani kabisa tofaut na zile X za kawaida tulizozizowea?
60 kila upande
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii sheria ya 1932 Nani alikuwa anaijua? Hata hiyo serikali ilikuwa haijui! Mbona becons za mipaka ya barabara haikuwekwa? Ili watu wajue wasijenge? Serikali iwache ubabe

Tafuta Kwanza maana ya neno Ubabe kisha ukishalielewa rudi tuendelee na mjadala nami kwani kwa Upeo wangu huu tu sidhani kama Serikali ya Tanzania kweli ni ya Kibabe au inafanya Ubabe au inapenda Ubabe. Nasubiri jibu langu Mkuu uniambie maana halisi ya neno Ubabe kwani Kiswahili ni kipana sana.
 
Ukweli ni kwamba kimara,kiluvya,kibamba yote ni chadema tupu sio kwa mita izo 121.5 kila upande wa barabara ninyingimno kunanyumba zipo mbali kabisa na Barabara zimekula x bomoa waliwai kwenda mahakamani maeneo ya mbezi wakashinda kesi na serikali ikabomoa kitemi na hakuna malipo yoyote watu wanafatilia paka soli za Viatu vimeisha hio ndiyo tz banaaa
 
Back
Top Bottom