Bomoa bomoa Moro Road watu wanazimia

HAKUNA SHERIA YA KUVUNJA BILA YA KUWEKEWA BIKON KABLA YA
KITAFATA KUPIGWA "x"
Baada ya hapo ndio ACTION INAANZA
MKUU FATILIA HILO SWALA HURNDA WENZIO WALISHAVUTA FIDIA KIMYAAA KIMYAAA
Usikurupuke hakuna aliyelipwa fidia kuna wengine barabara imewakuta mfano pale makondeko barabara ya zamani imepita nyuma kama unaenda kwembe hii barabara ya juzi imenyoisha na imewakuta watu wanamiji yao ila wamewekewa X na watabomolewa bila fidia

Bomoa bomoa ya Moro road haswa maeneo ya kibamba ni ya uonevu ubabe na kulipa visasi
Kibaha km chache toka kibamba road reserved ni mita 30 toka katikati ya barabara ila kibamba ni mita 121.5 utashangaa sijui ni barabara gani yenye mahipsi
 
Tafuta Kwanza maana ya neno Ubabe kisha ukishalielewa rudi tuendelee na mjadala nami kwani kwa Upeo wangu huu tu sidhani kama Serikali ya Tanzania kweli ni ya Kibabe au inafanya Ubabe au inapenda Ubabe. Nasubiri jibu langu Mkuu uniambie maana halisi ya neno Ubabe kwani Kiswahili ni kipana sana.
Mkuu usibishe hao jamaa wa mbezi walifungua kesi na walishinda kipindi JPM ni waziri sikumbuki vizuri mwaka ila ilikuwa kipindi cha mkapa
Hukumu iliwapa haki ya kuishi na kuendeleza makazi yao

Utawala huu ulipoingia bila kujali hukumu ya mahakama wamebomoa sasa huo si ubabe au kwenu ubabe unamaana gani
 
Back
Top Bottom