Bomoa bomoa Dar: Bar ya Mango Garden imekwenda na maji

Bomoa bomoa Dar: Bar ya Mango Garden imekwenda na maji

...
Unataka kwenda kupiga picha nini?
...
...
Panda gari lolote linaloelekea Makumbusho kupitia Mwananyamara ukipanda mwambie konda akushushe kituo cha 'Vijana', unaposhuka angalia mbele hatua kumi kushoto.
...
...
Toa camera anza kazi.
Hata kama unatokea Tegeta au Masaki?
Sio panda gari lolote elekeza vizuri.
 
Dah nitamiss kusugua kisigino na pinda mugongo . Isha mashauzi nae alikuwa anapiga hapo. Rip mango
 
Dah nitamiss kusugua kisigino na pinda mugongo . Isha mashauzi nae alikuwa anapiga hapo. Rip mango
Bwanaee mi ndo kila j.mos lazima niwepo mango twang pepeta wakifanya Yao.sa sijui Ntawapata wapi nikirudi bongo daaah
 
Mshana hio picha ni Mango garden kinondoni mwinyi juma road, kiwanja ni mali ya UVCCM, wamevunja wajenge jengo lingine lenye manufaa zaidi.
Mango garden sawa sawa nakiri kuchanganya madesa asante sana... Aliyenipotosha nitamrudia
 
Ninafikiri sana kama mtu kula yake ilikuwa hapo. Ni majuto na Kilio. Mwaka 2020 tusifanye makosa.
 
Hapo sio Mango Garden, hapo ni Vijana.
Mango Garden ipo kwa ndani (mbele yake)
Wala haipo kwenye ramani ya bomoa bomoa.
 
Da, kiwanja cha twanga pepeta enzi hizo

poor planning ya miaka ya nyuma ndio tatizo kabla ujajenga mji lazima uwe na plan... na lazima plan yako iangalie miaka Zaidi ya kumi inayokuja, sababu watu wanaongezeka ma barabara zinahitajika.

sasa wanalaumu serikali wakati waliokosea ni waliopita tangu nyerere. WATANZANIA TUNASHINdWA KUFANYA PLANNING KWENYE KILA KITU NADHANI MPKA SASA bado ni tazito. WATU hawaongei ukweli kuhusu hili wamekalia politiki tu. tATIZO KUBWA NI elimu..
 
Back
Top Bottom