Hapana,sio kijiwe Cha Waziri wa zamani,twanga ndio wenye kijiwe, Waziri ni rose garden .Kijiwe cha waziri wa mambo ya ndani wa zamani
Kindondoni studio
Ulivyoiandika ni as if watu wa Tanroads wamefanya yao kumbe ni mmiliki (uvccm) kaamua kuvunja ili ajenge kitu kingine ila mpangaji anapiga kelele!
Tetete umenichekesha
Teteeeeee
Haaaa haaaa hii post imekuchekesha kweliUmenichekesha ,maana cjacheka tangu asubuhi
siyo road reserve,wanataka kuwekeza majengo ya kisasa.Sheria, kanuni na taratibu kwenye mabonde na hifadhi ya barabara'road reserve' haijawahi kumuacha salama!
Matingatinga kwa ushirikianoTingatinga limefanya yake
Achaa fiks mkuu ,wewe umekuja mjin Jana tu halafu Leo unasema Kiwanja chako miaka hyoooo duh..[emoji38][emoji38][emoji38]Kiwanja changu hicho miaka hiyo, dah
Hahaha, ilikuwa sehemu ya kupumzikia ndugu yangu, kinywaji na msosi hapo miaka hiyo bado sisi ni vijanaAchaa fiks mkuu ,wewe umekuja mjin Jana tu halafu Leo unasema Kiwanja chako miaka hyoooo duh..[emoji38][emoji38][emoji38]
Sawa mkuu wa idaraHahaha, ilikuwa sehemu ya kupumzikia ndugu yangu, kinywaji na msosi hapo miaka hiyo bado sisi ni vijana