TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
sijuiKwani bado ipo?
sijuiKwani bado ipo?
Umeonekana kuwa na kasi saaana kutaka kujua ILA hutaweza kujua nimeona upeo wako ni wa chini sana.Hata kama unatokea Tegeta au Masaki?
Sio panda gari lolote elekeza vizuri.
uwiii kiwanja changu cha starehe jamaniiii Mzee tairo atakuwa kapata presha aisee Pigo kwa omba omba wa kikongo wakiwasubiri mapapaaa kutoka kazini aiseee hapo twanga pepeta kwisha habari yakeSafari hii itaeleweka tu. Yangu macho
![]()
![]()
Mwezi wa tisa 2017 walitaka kubomoa, ila uongozi wa Mango Garden ukapeleka shauri mahakamani ukihitaji kulipwa fidia na Umoja wa Vijana wa CCM kabla ukumbi haujavunjwa.
Inasemekana UVCCM wanataka kuweka vitega uchumi vyao.
linaitwa Tairo One. Pigo kwa Jerry Muro huwa hakosi pale na wakina JIJITime and tide wait for no man... But when your time is up you will have to go
Forever missed Mango garden kinondoni
View attachment 616848View attachment 616849
RIP Aisha mbegu, RIP Halima white, RIP Hamis Amigolas, RIP Diana AstonvillaRIP Uwanja wa Nyumbani wa Bendi bora ya Dansi ya miaka yote...
RIP Abuu Semhando, RIP Ramadhani Masanja, RIP MCD na malegend wote!
🙁
Dah inawezekana kabisa japo nilikihama hicho kiwanja baada ya vyoo vyake kugeuzwa gesti bubu na mashoga wa kinoUkute Mshana huwa tunakutana hapo kwa tairo kula kongoro
linaitwa Tairo One. Pigo kwa Jerry Muro huwa hakosi pale na wakina JIJI
RIP Aisha Madinda, mtoto alitingisha sana, enzi hizo, leader, Sigara na mango garden, kavuta mkwanja sana kwa wakwaleRIP Aisha mbegu, RIP Halima white, RIP Hamis Amigolas, RIP Diana Astonvilla
Mmmmmh! Mbona makao makuu ya mwendokasi yapo bondeni?Sheria, kanuni na taratibu kwenye mabonde na hifadhi ya barabara'road reserve' haijawahi kumuacha salama!
Mmechanganyikiwa nyie bavicha...kesho ukitoswa Na Bwana wako utailaumu pia SerikaliWewe lazima utakua Kinikia tafuta smelter uchenjuliwe..
ndio kwani unataka nikukaze?Wewe ni wa kiume kweli?
Sogeeni pale mbele jirani si kubaya kwenu ninyi vijana.Dah inawezekana kabisa japo nilikihama hicho kiwanja baada ya vyoo vyake kugeuzwa gesti bubu na mashoga wa kino
Aisee sasa itabaki tu simulizi kuwa hapa alitamba Mzee wa Farasi,hapa ndio alipokuwa anatamba Mzee wa Yuro,hapa ndio alikuwa anatamba Baba Diana,Hapa ndio palikuwa anatamba Aisha Madinda,hapa ndio ilikuwa Laki si Pesa,hapa ndio UKIMWI ulikuwa unagawiwa bure,hapa ndio rapa teja(yupo kwa malkia sasa anakula bata) alikuwa akitamba huku akiwa njwii.Time and tide wait for no man... But when your time is up you will have to go
Forever missed Mango garden kinondoni
View attachment 616848View attachment 616849
Kwa nyie wgeni, hayo yaikuwa naskani ya Hemedi Maneti na Vijana Jazz.NAMBA inasomeka vyema.