Bomoa bomoa Dar: Bar ya Mango Garden imekwenda na maji

Bomoa bomoa Dar: Bar ya Mango Garden imekwenda na maji

Bomoa nyumba kama ipo kwenye akiba ya barabara
 
Safari hii itaeleweka tu. Yangu macho
04bb0b1db4ac11d3e58291065af3317e.jpg
1e9afbcf68fa90741d9b70d25360dd74.jpg

Mwezi wa tisa walitaka kubomoa, ila uongozi wa Mango Garden ukapeleka shauri mahakami ukihitaji kulipwa fidia na Umoja wa Vijana wa CCM kabla ukumbi haujavunjwa.

Inasemekana UVCCM wanataka kuweka vitega uchumi vyao.
Ulivyoiandika ni as if watu wa Tanroads wamefanya yao kumbe ni mmiliki (uvccm) kaamua kuvunja ili ajenge kitu kingine ila mpangaji anapiga kelele!
 
Back
Top Bottom