The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,410
Mango garden/Rose garden?Kijiwe cha waziri wa mambo ya ndani wa zamani
Kwani huko nako barabara ina nyongeza@mshana jr
Punguza kunywa viroba mkuunilipoteza bahasha yenye shati langu zuri sana nililonunua kwa machinga nahisi nililiacha mezani hapo Mango.
Siku hiyo nilianzia matingas tabata kudadake!
RIP MANGO
Daah. Nilisahau kuwa na safu ya wanenguaji nayo ilipata misiba kadhaa plus Amigo...RIP Aisha mbegu, RIP Halima white, RIP Hamis Amigolas, RIP Diana Astonvilla