sitakaa nikaamini kwamba victor pekee ndiye aliyekula njama, akaagiza bomu, na kulipua kanisa bila kumshirikisha mtu au watu wengine.
na sitaki kuanini kwamba vyombi cyetu vya ulinzi kwa zaidi ya wiki vimeshindwa kubaini waluoshirikiana na victor hata kama ni mapadre au masista
naelekea kuamini kwamba waliohusika wanajulikana na hawakamatwi na hawatakamatwa kwa kuwa vyombo " vimezuiwa" kufanya kazi yake.
sasa wajue hii ni mbaya ni kutoa nafasi ya kila mtu kuwaza lake na kama tutaendelea hivi kuna 'vichaa' wanaweza kuamua kuchukua sheria mikonon