Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
There are currently 2662 users browsing this thread. (76 members and 2586 guests).
Naamini watu wa usalama mnasoma sana humu JF. Tangu hii thread imeanzishwa hapa leo ninaamini wamepita wasomaji wengi na members wengi sana kwa siku ya leo, JF wana statistics. Hii inaonesha jinsi ambavyo watanzania wengi hawafurahishwi na jinsi mambo yanavyoendeshwa. Tukumbuke kuwa watu wengi sasa hivi wameelimika na si rahisi kukubali mambo ya danganya toto. Tafakarini!!! Sipati picha.