Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

If the data are correct, then that is the most glorified city on earth as they are less than 5000 in population and everybody repents before God everyday!

ukipata wakati soma kitabu hiki jamaa anaelezea kwa ufupi

 
Last edited by a moderator:
Unataka kusema hii inafana na ya Babu wa Loliondo?

...Swadaktaa...ingawa pia babu wa Loliondo inawezekana ali-seize tu opportunity ya taifa la wajinga na washirikina....
 
siku zote siasa zina diversions lakini je bomu Kanisani, kanisa kuchomwa, padri kupigwa risasi ndio ishara ya diversion katika siasa?

...Siasa inajumlisha kila kitu ndugu...hasa inapogeuka AJIRA kama ilivyo sasa Tz
 
Back
Top Bottom