Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

Kama ni ugaidi basi tusuburi dose nyingi kutoka kwa wale waliosema tusiende Congo.
 
Source:al-khaleej
SIAMINI KABISAA.
yaani jana tumeambiwa MEMBE ANGEENDA ARUSHA LEO KUZUNGUMZIA UTATA KWA WATUHUMIA HAO,KUMBE WALE WAARABU WATATU WA FALME ZA KIARABU WALIACHIWA KIMYAKIMYA TOKA JANA JUMAPILI!!!!Duh.

CHA AJABU ZAIDI TAARIFA ZINATOLEWA NA VYOMBO VYA NJE.
yaani serikali iko kimyaaa BILA TAARIFA WAKATI YENYEWE NDO IMEWAACHIA.

haya hakuna haja serikali kuja na taarifa tena,MTATUEKEZA NINI?Tumesha soma tayari na tunajua.
SOURCE al-khaleej daily, reported on monday 13/05/2013
 
Na Ambrose Victor wanamshikilia wa nini wakati yeye alikodiwa tu mkuu? Kama polisi walioko nje wanashindwa kumkamata mhalifu yeye Victor aliyempakia mara moja tu na tena akakimbia na hela yake atamtambua hata akimwona? Eti Tanzania inajidai ina security!!! Inawezekana ipo ila hili suala la bombing nahisi kitu? But hatuwezi kuchezea Watanzania kiasi hiki.
unanipa kutafakari,yawezekana wewe unamfahamu mlipuaji wabom wewe.
 
Source:al-khaleej
SIAMINI KABISAA.
yaani jana tumeambiwa MEMBE ANGEENDA ARUSHA LEO KUZUNGUMZIA UTATA KWA WATUHUMIA HAO,KUMBE WALE WAARABU WATATU WA FALME ZA KIARABU WALIACHIWA KIMYAKIMYA TOKA JANA JUMAPILI!!!!Duh.

CHA AJABU ZAIDI TAARIFA ZINATOLEWA NA VYOMBO VYA NJE.
yaani serikali iko kimyaaa BILA TAARIFA WAKATI YENYEWE NDO IMEWAACHIA.

haya hakuna haja serikali kuja na taarifa tena,MTATUEKEZA NINI?Tumesha soma tayari na tunajua.
SOURCE al-khaleej daily, reported on monday 13/05/2013
Mkuu unataka serikali ikuleteee taarifa nyumbani kwako au unamaanisha nini kusema imekaa kimya.
 
Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

2013-05-13 10:57

8b0d522b58b0486c96281c25914d1b53.jpg

Dubai - Three Emiratis arrested in Tanzania after a deadly attack on a church there a week ago have been freed and are back home, the Al-Khaleej daily reported on Monday.

Tanzanian authorities had arrested them "because they happened, by chance, to be at the site of the attack", the paper said, citing tweets of the United Arab Emirates foreign ministry.

The trio were released with the foreign ministry's help following "co-ordination between the UAE embassy and Tanzania", it said.

The report quoted "informed sources" as saying that the three Emiratis had returned home.

Saudi Arabia's foreign ministry announced Sunday that a Saudi citizen who had been arrested at the same time as the UAE nationals had been freed without charge.

The Saudi and the three Emiratis were arrested along with five Tanzanians after last Sunday's bombing, described by Tanzanian President Jakaya Kikwete as "an act of terrorism".

It was one of the worst such incidents to hit the east African country in years.

In addition to the three people killed in the blast, more than 60 people were injured when attackers hurled a bomb into the compound of the newly built Saint Joseph's Roman Catholic church.

The church was celebrating its inaugural mass at the time and was filled with worshippers.

- AFP

I conquer that something fishy is going on here. When the Police reach a stage of quietly releasing people who all and sundry were told to be suspects, then we members of the public must rise up and ask why? We have so many cases, where people, despite the evidence that they have nothing to do with the alleged crime, have and are languishing in jail for many years. This is is like the case when the 2 Germans forced a Tanzanian woman to have sex with the dog, they were hurriedly deported without trial! The same case was for the 2 British soldiers who were alleged to have raped to death a Tanzanian lady, the state quietly dropped the charges!

This is a pattern that we must fight. We cannot allow our country to be a banana republic where foreign citizens who are suspected of committing a horrendous act are quietly released and then one person is quietly charged of the crime! This is akin to what happened in Zanzibar after the killing of Father Evarist Mushi only one person has been charged! This action shows that well-connected foreigners can commit any crime in the country and get away with it. Then our leaders will want us to have faith with the administration of justice in the country and also trust "the law-enforcing organs" who have all the intelligence required to keep us safe! What a joke!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013

Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba mara ya mwisho nilipokutana nanyi niliwaahidi kwamba nitaendelea kuwapa mara kwa mara taarifa juu ta maendeleo ya upelelezi wa tukio la mlipuko wa bomu lililotokea katika kanisa katoliki la mtakatifu joseph mfanyakazi parokia ya olasiti tarehe 05/05/2013 na kusababisha vifo vya watu watatu(3) na wengine kudhaa kujeruhiwa.

Kama nilivyowaeleza hapo awali, baada ya tukio hilo jumla ya watuhumiwa tisa(9) walikamatwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani. Watuhumiwa haoa ni victor Ambros Kalist, (20), dereva wa bodaboda na mkazi wa kwa Morombo; Yusuph Lomayani Josee (18) mwendesha bodaboda mkazi wa kwa Morombo na George Bathlomeo Silayo (23) mfanyabiashara na mkazi wa Olasiti.

Watuhumiwa wengine waliokamatwa ni raia watatu toka nchi za falme za kiaruabu (UAE) Abdul Aziz Mubrak (30) mfanyakazi wa mamlaka ya mapato katika falme za kiarabu, Fouad Saleem Ahmed Al Hareez Al Mahri (29) mfanyakazi wa kikosi cha zimamoto katika Falme za Kiarabu, Saeed Abdulla Saad (28) askali polisikitengo cha traffic katika falme za Kiarabu, pamoja na raia mmoja wa Saudi Arabia Al-Mahri Saeed Mohseens (29)

Rai hao wa kigeni walikamatwa pamoja na wenyeji wao wawili ambao ni raia wa tanzania wenye asili ya Yemen. Majina ya watanzania hao ni Mohamed Suleiman Saad, (38) mkazi wa ilala jijini Dar es Salaam na Jasm Mubarak (29) mkaazi wa mtaa wa Bondeni jijini Arusha.

Uchunguzi wa kina uliofanywa na timu ya upelelezi ukihusisha taaasis nyingine za upelelezi FBI pamoja na INTERPOL kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani umebaini kuwa raia hao wanne wa kigeni hawakuhusika katika shambulio hilo.

Baada ya jalada la tukio hilo kufikishwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Arusha – divisheni ya mashtaka imeelekeza kuwa watuhumiwa hao wakabidhiwe ofisi za idara ya uhamiaji mkoa wa arusha ili kuona kama kuna taratibu zozote za kiuhamiaji ziikiukwa na wageni hao wakati walipoingia nchini ili hatua stahili ziweze kuchukuliwa dhidi yao.

Pia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imeandaa mashitaka dhidi ya victor S/O Ambros kalisti na amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji na kujaribu kuua. Uchunguzi dhidi ya watuhumiwa waliosalia unaendelea kwa sasa tunao wataalamu kutoka kenya na Uganda ambao tunashirikiana nao katika upelelezi wa shauri hilo.

Aidha, hadi sasa idadi ya majeruhi wa tukio hilo la mlipuko wa bomu wanaoendelea kupata matatibabu katika hospitali mbalimbali ni 31 ambao kati yao 19 wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa mount Meru arusha, 4 katika hospitali ya St. Elizabeth arusha na wengine 8 katika hospitali ya taifa muhimbili jijini dar es salaam na taarifa zinaonyesha hali zao zinaendelea kuimarika.

Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea kufuatilia taarifa za watuhumiwa wengine wanaohusishwa na tukio hilo ili waweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani pia jeshi la polisi linaendelea kuwaomba wananchi au raiayeyote mwenye taarifa zitakazowezesha kubaini mtandao wa kigaidi nawatuhumiwa wengine wanaohusika na tukio hilo wajitokeze na kuwasilisha taarifa hizo; tayari mkuu wa jeshi la polisi (IGP) amekwishaahidi zawadi nono ya Tshs. 50,000,000/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa hizo za siri kwa kukamatwa kwa watu hao.

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
LIBERATUSI SABAS – ACP
TAREHE 13/05/2013.
 
hakika nimeaminini wameanza kutengeneza season mpya ya hili picha.
Ina maana uchunguzi umekamilika hadi kufikia kuwaachia hao watuhumiwa. sasa mbona hadi sasa report haijasomwa wakati ni wazi uchunguzi ume kamilika? bila shaka hapa kuna kamchezo kengine.
Hakika hapa kuna uongo mwingi maana kuna case nyingi sana watu wana kamatwa bila hatia lakini hawaachiwi haraka namna hii.
"na kwenda Arusha kuweka mambo sawa-- Membe"
 
unanipa kutafakari,yawezekana wewe unamfahamu mlipuaji wabom wewe.

Si suala la kumfahamu mlipuaji wa bom, ni suala la haki hapa. Boda boda naye ana haki ya kuendelea na shughuli zake, polisi wetu wanakurupuka sana maana siku ya tukio tu bila hata kufanya uchunguzi wa haraka walilipuka na kuanza kumtaja Ambrose kana kamba yeye ni mlipuaji. Walitakiwa kusema kuwa tunamshikiia mtuhumiwa mmoja ambaye ndiye alikuwa dereva wa bodaboda iliyomleta mlipuaji. Na haikutosha, wale watu wengine waliokamatwa sambamba na huyo dereva hahakutajwa!!!!!! Sasa si mnajidai mna usalama? Mbona hamjakamata mhusika? Kweli ina maana polisi, usalama, hadi FBI wameshindwa? Kele zanzibar mauaji ya padre, na wa kumjeruhi padre kwa risasi ni vipi? Wachomaji wa makanisa hawakamatiki kweli? Kama hawa hawajapatikana ni wazi kuwa hatuna usalama wa kutusaidia?!!! Mbona mwizi wa kuku anapatikana fasta? Mbona wezi amboa siku hiyo hawajakata genzi huwa wanakamatwa au kupigwa risasi zinazodaiwa kurushiana? Bado hainiingii akilini mwangu kuwa mlipuaji wa bomu AR, mchomaji wa makanisa, muuaji wa padre kizungumkuti, mpigaji wa padre risasi , n.k eti hawapatikani? So sad, sijui mtu ila nina uwezo wa kuwaza na kupambanua mambo.
 
Aithee! Hii ni twithti kali thana! Tutathikia mengi thana yaliyo chini ya medha.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013

Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba mara ya mwisho nilipokutana nanyi niliwaahidi kwamba nitaendelea kuwapa mara kwa mara taarifa juu ta maendeleo ya upelelezi wa tukio la mlipuko wa bomu lililotokea katika kanisa katoliki la mtakatifu joseph mfanyakazi parokia ya olasiti tarehe 05/05/2013 na kusababisha vifo vya watu watatu(3) na wengine kudhaa kujeruhiwa.

Kama nilivyowaeleza hapo awali, baada ya tukio hilo jumla ya watuhumiwa tisa(9) walikamatwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani. Watuhumiwa haoa ni victor Ambros Kalist, (20), dereva wa bodaboda na mkazi wa kwa Morombo; Yusuph Lomayani Josee (18) mwendesha bodaboda mkazi wa kwa Morombo na George Bathlomeo Silayo (23) mfanyabiashara na mkazi wa Olasiti.

Watuhumiwa wengine waliokamatwa ni raia watatu toka nchi za falme za kiaruabu (UAE) Abdul Aziz Mubrak (30) mfanyakazi wa mamlaka ya mapato katika falme za kiarabu, Fouad Saleem Ahmed Al Hareez Al Mahri (29) mfanyakazi wa kikosi cha zimamoto katika Falme za Kiarabu, Saeed Abdulla Saad (28) askali polisikitengo cha traffic katika falme za Kiarabu, pamoja na raia mmoja wa Saudi Arabia Al-Mahri Saeed Mohseens (29)

Rai hao wa kigeni walikamatwa pamoja na wenyeji wao wawili ambao ni raia wa tanzania wenye asili ya Yemen. Majina ya watanzania hao ni Mohamed Suleiman Saad, (38) mkazi wa ilala jijini Dar es Salaam na Jasm Mubarak (29) mkaazi wa mtaa wa Bondeni jijini Arusha.

Uchunguzi wa kina uliofanywa na timu ya upelelezi ukihusisha taaasis nyingine za upelelezi FBI pamoja na INTERPOL kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani umebaini kuwa raia hao wanne wa kigeni hawakuhusika katika shambulio hilo.

Baada ya jalada la tukio hilo kufikishwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Arusha – divisheni ya mashtaka imeelekeza kuwa watuhumiwa hao wakabidhiwe ofisi za idara ya uhamiaji mkoa wa arusha ili kuona kama kuna taratibu zozote za kiuhamiaji ziikiukwa na wageni hao wakati walipoingia nchini ili hatua stahili ziweze kuchukuliwa dhidi yao.

Pia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imeandaa mashitaka dhidi ya victor S/O Ambros kalisti na amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji na kujaribu kuua. Uchunguzi dhidi ya watuhumiwa waliosalia unaendelea kwa sasa tunao wataalamu kutoka kenya na Uganda ambao tunashirikiana nao katika upelelezi wa shauri hilo.

Aidha, hadi sasa idadi ya majeruhi wa tukio hilo la mlipuko wa bomu wanaoendelea kupata matatibabu katika hospitali mbalimbali ni 31 ambao kati yao 19 wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa mount Meru arusha, 4 katika hospitali ya St. Elizabeth arusha na wengine 8 katika hospitali ya taifa muhimbili jijini dar es salaam na taarifa zinaonyesha hali zao zinaendelea kuimarika.

Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea kufuatilia taarifa za watuhumiwa wengine wanaohusishwa na tukio hilo ili waweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani pia jeshi la polisi linaendelea kuwaomba wananchi au raiayeyote mwenye taarifa zitakazowezesha kubaini mtandao wa kigaidi nawatuhumiwa wengine wanaohusika na tukio hilo wajitokeze na kuwasilisha taarifa hizo; tayari mkuu wa jeshi la polisi (IGP) amekwishaahidi zawadi nono ya Tshs. 50,000,000/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa hizo za siri kwa kukamatwa kwa watu hao.

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
LIBERATUSI SABAS – ACP
TAREHE 13/05/2013.

Kwa hiyo huyo Vunerable bodaboda driver ndiyo amepewa kesi hii? Mungu ampiganie na ampe ushindi. Sifahamu aliyerusha bomu, ila nina hakika hakuhusika kabisa. Poor him. A framed move!!! Take it easy Victor, Mungu atakupigania.
 
Sishangazwi hata kidogo na jambo hili. Tumezidi kujikomba umangani mpaka inatia aibu. Naona mkuu wa kaya baada ya kuona kimeanza kunuka Ulaya na Marekani wameshaanza kumstukia, sasa kageuza uso anatembeza bakuli nchi za kiarabu. Ndiyo sababu kila kukicha yuko huko na anadiriki 'kuwabembeleza' waje kuwekeza Tanzania kiasi cha kuwapa 'uhuru' wa kuitumia nchi yetu na rasilmali zake kwa namna wanayotaka wao. Hata wamasai sio kitu mbele ya maswahiba wake wa kiarabu; wanahamishwa kutoka kwenye ardhi yao ili wapewe waarabu, ndege zinabeba wanyama wetu kupeleka huko Arabuni mchana kweupe. Sembuse leo wakija kutulipua ataweza kufurukuta?

Tuamke nchi imeshauzwa. Waswahili husema ukiona manyoya jua kashaliwa... Kazi ni kwetu sisi wenye uchungu na nchi yetu kufanya mabadiliko kabla hatujageuzwa wote kuwa watumwa nchini mwetu.

Inawezekana, timiza wajibu wako - Mwalimu Nyerere.

Eti nini? mbona sielewi? hivi una shamba ekari ngapi na unazalisha nini kinachowasaidia watz? kaka hata shamba la tikiti maji huna?? uchungu gani sasa?? sielewi??
 
Hii kesi amebakia dereva wa bodaboda peke yake? Polisi watuambie hao watuhumiwa wengine tuwasaidie kuwatafuta, au wanaweafanya siri ili wasitoe hiyo 50,000,000.
 
Si suala la kumfahamu mlipuaji wa bom, ni suala la haki hapa. Boda boda naye ana haki ya kuendelea na shughuli zake, polisi wetu wanakurupuka sana maana siku ya tukio tu bila hata kufanya uchunguzi wa haraka walilipuka na kuanza kumtaja Ambrose kana kamba yeye ni mlipuaji. Walitakiwa kusema kuwa tunamshikiia mtuhumiwa mmoja ambaye ndiye alikuwa dereva wa bodaboda iliyomleta mlipuaji. Na haikutosha, wale watu wengine waliokamatwa sambamba na huyo dereva hahakutajwa!!!!!! Sasa si mnajidai mna usalama? Mbona hamjakamata mhusika? Kweli ina maana polisi, usalama, hadi FBI wameshindwa? Kele zanzibar mauaji ya padre, na wa kumjeruhi padre kwa risasi ni vipi? Wachomaji wa makanisa hawakamatiki kweli? Kama hawa hawajapatikana ni wazi kuwa hatuna usalama wa kutusaidia?!!! Mbona mwizi wa kuku anapatikana fasta? Mbona wezi amboa siku hiyo hawajakata genzi huwa wanakamatwa au kupigwa risasi zinazodaiwa kurushiana? Bado hainiingii akilini mwangu kuwa mlipuaji wa bomu AR, mchomaji wa makanisa, muuaji wa padre kizungumkuti, mpigaji wa padre risasi , n.k eti hawapatikani? So sad, sijui mtu ila nina uwezo wa kuwaza na kupambanua mambo.

Ni kweli, hata yule mtoto aliyekojolea Qur'an bado hajakamatwa. wala hajafunguliwa mashtaka yoyote. Halafu kumbe kule segerea kuna mtoto wa miaka 10 kafungwa kwa kuiba pesa kidogo. Hiyo ndio Tanzania!!!
 
Kwa hiyo huyo Vunerable bodaboda driver ndiyo amepewa kesi hii? Mungu ampiganie na ampe ushindi. Sifahamu aliyerusha bomu, ila nina hakika hakuhusika kabisa. Poor him. A framed move!!! Take it easy Victor, Mungu atakupigania.

Ililikuwa wazi kwamba vijana wa kiarabu
hawakuhusika kama ilivyo kwa kijana wa bodaboda! Kwa ufupi wahusika wa tukio hili hawajakamatwa.
 
Back
Top Bottom