Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

sasa alama ya vidole inasaidia nini kama hakuna database?..labda tusubiri hivyo vitambulisho vya taifa ili wachukue fingerprint za raia wote ziwe kwenye database ndo tutaweza kamata wahalifu kwa ushahidi wa fingerprint.

hivi haujui kuwa polisi wa tanzania huwa wanachukuaga alama za vidole na wanamkamata mshtakiwa kuanzia kitambo tu?
 
Wewe unataka uchunguzi upi kama huu hutaki kuamini pengine wewe na chama chako mmehusika kwenye hilo bom make taarifa za vyombo vyombo vya kiuchunguzi unapingana navyo.
mkuu kajifunze Kiswahili kwanza kabla ya kutaka kubishana
 
ndugu zangu wanajamvi kwanza tujipeni pole kwa janga lililotukuta majuzi kanisani Arusha kwa kuwapoteza ndugu zetu pamoja na wengine kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili.Sasa niongelee hii aibu iliyolikumba taifa kwa ujumla wake, Polisi wetu ambao wanalipwa pesa kutokana na kodi zetu wamekuwa wazembe kupindukia kwa kufanya kazi kwa kukurupuka, kukamata watu bila ya kuwa na weledi wa wanachokifanya na kututangazia kwenye vyombo vya habari wamewakamata waarabu .leo wamewachia je?hiyo si aibu kwetu

Ni sawa polisi wetu ni mburula lakini walifanya kazi yao ipasavyo na kuwakamata washukiwa. Ukiangalia jinsi baadhi ya washukiwa wa kigeni walivyoingia na the way walivyokuwa wakijaribu kuondoka hata wewe ungewashuku, na ndio maana polisi wetu waliwakamata. Tatizo lilianza pale ambapo mmoja au baadhi ya wakuu wa nchi walipoingilia uhuru wa polisi kwenye kutekeleza kazi yao ya kipolisi.
 
kijana mkristo tena mchaga kalipua bomu. chadema wangetaka awe muislamu ili walete ajenda ya udini.

mapovu yanawatoka kuona hakuna udini.
 
Basi uchunguzi utakuwa umekamilika, watoe majibu hadharani.
Kama haujakamilika, why so soon?

Sina utaalam wa sheria, lakini nami naona kama wanakimbizana na vivuli vyao wenyewe? Kwa hiyo bwana Victor alitengeneza bomu lake mwenyewe? Kama sivyo alilitoa wapi? Mbona nahisi kama kesi ina msururu mkubwa wa wahusika lakini wanamkimbiza Victor mwenyewe? Na utaalam wa kipolisi umeshindwa kumbana 'a 21 years old boy' kutaja washirika wake? Sababu za dogo kurusha bomu zimejulikana kuwa alitaka kutuma ujumbe gani?

Anyways, labda sisi ndio tuna haraka, kwani yatawakilishwa yote mahakamani....
 
He he he, kumbe hujui?

Ukute aliye nyuma ya pazia ni mzito sana, wameshindwa kumtaja au keshawapiga biti

Huyu ambrose mwenyewe wanashindwa mhukumu maana wanajua hana hatia, labda alibeba abiria wake wa boda boda kama mteja wa kawaida, so ?????????

Kwa kweli am speechless na utaalam wa askari wetu, wawe basi hata wana sessions za kuangalia episodes za CRIME, zinaweza kuwasaidia kukopi vichache, kama sio kukrem.

Kwani Ambrose alibeba abiria aliyerusha guruneti au yeye ndio alijitoa ufahamu wa kulirusha hilo guruneti?
 
Alibeba abiria aliyerusha gurunet
Na abiria akakimbia bila kulipa

Hawana haja ya kuangalia chochote, unadhani hawajui aliyefanya? au kwamba hawana guts za kumtaja?

Mbona 1998 waliwapata waliolipua ubalozi wa marekani kwa muda mchache tu?

He he he, director wa hii episode hajaruhusu kutaja

Heeee....kumbe! Mimi nimejua kuwa yeye ndio karusha! Kwa kweli nimekosa cha kusema! sasa mbio za mahakamani za nini si waendelee na uchunguzi, au ndio utaalam umefikia mwisho? Na kwa nini wamfiche kwa habari sensitive kama hii? Ngoja tuendelee kuomba hilo pazia linalofunika haya mambo liwake moto ili tuone ya nyuma yake......
 
mimi nilisema hii ni kazi ya usalama wa ccm tusahau kuwa katibu mkuu wa ccm anaua tembo na kuwang'oa meno halafu anayauza yale meno nje kwa kuyapakia kwenye meli yake mwenyewe na fedha zinazopatikana zinachangia chama cha majizi..nadhani nimeeleweka.
 
Wamejipachika kujifanya watetezi wa wakristo kama Ponda kwa waislam.kwa sababu mtendaji mkuu ni Padre.

my daughter of a year and three months old can think bigger than this piece of trash u wrote dumb a*s
 
sasa alama ya vidole inasaidia nini kama hakuna database?..labda tusubiri hivyo vitambulisho vya taifa ili wachukue fingerprint za raia wote ziwe kwenye database ndo tutaweza kamata wahalifu kwa ushahidi wa fingerprint.
Watanzania wote wenye passport fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji, aidha wageni wote wanaoingia kihalali pia fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji!

Hivyo kwa kuchukua fingerprints katika pikipiki aliyopanda huyo gaidi wangeweza kubaini mara moja kuwa waarabu wale hawana hatia na wangeachiwa mara moja kuliko ambavyo hivi sasa wamedhalilishwa katika mahabusu zetu chafu!
 
kijana mkristo tena mchaga kalipua bomu. chadema wangetaka awe muislamu ili walete ajenda ya udini.

mapovu yanawatoka kuona hakuna udini.

siasa za kijinga na taka zimekuondoa utu na ufahamu! ambrose ni mkristo mkatoliki kabila muarusha,anaingiza kipato chake kwa kufanya biashara ya kuendesha pikipiki! alimbeba mtu aliye lipua kanisa bila kujua,alidhani ni abiria wa kawaida. yaliyo mtokea ambrose yanaweza kukupata hata wewe. hujafa hujaumbika mdogo wangu! jiweke ktk mazingira aliyo nayo kijana huyu yatima ambaye amefunguliwa mashitaka kwa jambo ambalo hakuhusika!
 
Watanzania wote wenye passport fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji, aidha wageni wote wanaoingia kihalali pia fingerprints zao ziko katika database ya Uhamiaji!

Hivyo kwa kuchukua fingerprints katika pikipiki aliyopanda huyo gaidi wangeweza kubaini mara moja kuwa waarabu wale hawana hatia na wangeachiwa mara moja kuliko ambavyo hivi sasa wamedhalilishwa katika mahabusu zetu chafu!

With 1.5 crimes per citizen, Vatican City has the highest crime rate in the world.
 
With 1.5 crimes per citizen, Vatican City has the highest crime rate in the world.
If the data are correct, then that is the most glorified city on earth as they are less than 5000 in population and everybody repents before God everyday!
 
Back
Top Bottom