Mkuu, Akili yako ipo Hivi;
Wewe ni mlimbukeni kidogo(samahani kama neno litakuchoma)
Mfano Twende katika sekta ya mawasiliano..
Hapa kuna vitu vingiii vinavyoweza kufanikisha mawasiliano(
simu.
lakini kuna simu za aina nyingi sana mkuu
Makampuni kama
-samsung
-iPhone
-Motorola
-Nexus
-one plus one
-Nokia
-Huawei
-High tech computer (HTC)
-Sony
-blackberry
-Microsoft
-Philips
-Xiaomi HAYA NI MAKAMPUNI MAKUBWA KABISA YA SIMU ULIMWENGUNI
LAKINI HAPAHAPA KUNA MAKAMPUNI KAMA
-Tecno
-xytel
-Viwa
-itel
-duro
-startime
-Dorado
-lenovo
-dell
-xiaumi
-Alcatel
Na nyingine nyigiiiiii ...
HIZI NI KAMPUNI NDOGO KABISA ZA SIMU AMBAPO WANAFANYA KUTAG SOKO(mfano tecno hawa wameweka nguvu zao nyingi katika nchi kama Nigeria,Ethiopia,kenya,uganda,na Tanzania ..
SASA MKUU AKILI YAKO IPO HIVI ;
Nikisema nifananishe kati ya simu ya TECNO (j8) mfano na simu ya IPHONE (iphone4)
Hapo utaniona mshamba eti kuifananisha simu Kama iPhone 4 na tecno j8 ....TATIZO unakuwa unaweka imani kwamba kitu Kama IPhone hakiwezi kushindanishwa na Tecno (japo mawasiliano unapata) na vitu vingine vingi ...HUU NI USHAMBA
Ukiangalia
Tecno j8.imempita iphone4 kula kitu!! Si kamera,ram,space,baterry capacity and so on
POINT YANGU ...SIKUFANANISHA NDEGE NA BASI ILA NILIFANANISHA BOMBARDIER NA BASI(yutong)
Iphone4 na tecno boom j8. This is ridiculous !!
Utaidharau tecno j8 kutokana na ukubwa wa brand ya iPhone (bila ku judge ni iphone ipi? 4,5,6,7 au 7+)?
Karibu mkuu