Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Tuko na different mind set...naomba niishie Hapa, wengine wataendelea...

Hata hiyo bombardier huijui unaleta ushabiki kwa sababu ya baadhi ya comments za wadau humu...
Kwani kinachokufanya bombadia ni kipi? Uwahi kufika ama?
 
Bombadier hamna kitu mule!!!!!
Mbona huelewi!!!
Hata KIMBINYIKO inaizidi.

Bombadier (stone age) labda uipambanishe na KIPENGULE au THE BIG MAYAI sio haya ya 5th G
Amekataa kukupa like, mimi nimeshakupa LIKE yako.
 
Bombadier hamna kitu mule!!!!!
Mbona huelewi!!!
Hata KIMBINYIKO inaizidi.

Bombadier (stone age) labda uipambanishe na KIPENGULE au THE BIG MAYAI sio haya ya 5th G
Mwambie maana amekazaana na hiyo bombardier ..
Mwambie hivi;
HATULINGANISHI NDEGE NA BASI LA YUTONG ILA TUNALINGANISHA BOMBARDIER NA BASI LA YUTONG[emoji835] full stop !!!
 
Kama unapenda kufurahia safari na huna haraka pia ni kawaida yako kuoanda ndege napendekeza jaribu taste ingine Shabiby au Kimbinyiko Luxury hutajutia fedha zako na ni pungufu x5 ya Bombadier.
 
Kama unapenda kufurahia safari na huna haraka pia ni kawaida yako kuoanda ndege napendekeza jaribu taste ingine Shabiby au Kimbinyiko Luxury hutajutia fedha zako na ni pungufu x5 ya Bombadier.
Mkuu sidhani Kama kuna mtanzania mpanda ndege ambaye hajawahi kusafiri na basi. Ulichokiandika ni sahihi Karisa. Lakini sio Kama hawa jamaa wengine wanaleta ubishi usio wa lazima.

Mimi binafsi hayo mabasi nimesha safiri nayo sana tu, tangu enzi za Scandinavia...

Taste zote nazifahamu....
 
Hatujabisha undege wa Bombardier, bali tunasema hamna kitu mule, kama unaenda tunduru we panda "LEO" AMMIT, na kama waenda masasi panda "BUTI LA ZUNGU" au panda malory ya dangote utaunganisha mbele kwa mbele.
[emoji125]
 
WaTanzania uzalendo wetu umeporomoka kiasi hiki?kiasi cha kulinganisha ndege na basi!Au ni utani? Bombardier hii ingekua ya nchi nyingine tungeisifu kwa nyimbo na mapambio.Ni nani aliyetutoga?
 
Back
Top Bottom