Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Naombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE

Nichague nini?

Tangia Dar aporti wachukue na kutonirudishia vito vyangu nilivyodondosha pale kwenye skanar sina hamu ya kupita hapo tena
 
Ndio
 
Safari ilikuwa ndefu lakini nashukuru nimerudi tena dar es salaam .
Nashukuru mlionipa ushauri kwani wengi mlinitaka nipande shabiby,hivyo nilienda na shabiby lakini nimerudi na Kilimanjaro express.
 
Dhihaka imetoka wapi tena? Vyote ni vyombo vya usafiri mkuu au sababu Q400 inapita angani? Acha ushamba basii !
Mkuu inawezekana wewe kupanda ndege ni anasa, huwezi kulinganisha hata ndege yenye pangaboi moja pale mbele na basi la aina yoyote. Ndege ni Ndege na Basi ni Basi.....
 
Mkuu, ingekuwa sector ya Aviation inakuhusu hizi fikra finyu usinge ziandika. Kawaida hujenga mazoea, mtu wa basi ni mtu wa basi tu. mawazo yake yanajionyesha. hii kiboko sijapata sikia, Unalinganisha flight na Bus.

Vipi kuhusu Safety na Time...Mbona huvizungumzii...??
 
Safari ilikuwa ndefu lakini nashukuru nimerudi tena dar es salaam .
Nashukuru mlionipa ushauri kwani wengi mlinitaka nipande shabiby,hivyo nilienda na shabiby lakini nimerudi na Kilimanjaro express.
Hongera sana mkuu, shetani asikushauri upande bombadia.
 
Wewe umekariri mkuu!
sio kukariri, tunatofautiana uelewa...

Asilimia kubwa sana ya watu duniani wanapenda kusafiri na ndege, tatizo huwa ni kipato...kama una kumbuka kuliwahi kuwa na community airline, bei ilikuwa nafuu sana...watu walianza kuyakibia hayo mabasi unayoyaita Luxury...

Message umeipata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…