Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Hii ni mada au tangazo la biashara kweli wabongo wanatumia fursa bwana safi sanaaaaaa:D:D:D
 
Kama ni njia ya dodoma, Kimbinyiko wana mabasi sawa na Shabiby ila huduma zao wakati wa safari ni nzuri kuliko Shabiby mkuu.Pamoja Shabiby wana jina kubwa zaidi.
WELL SAID
THIS IS KIMBINYIKO LUXURY
29d6e5ba10ac2372b6b851aac410b51f.jpg


INSIDE
03785d45ee7eda863a95dfbb64507c2e.jpg

daab663796736724e92e342b5e83bdef.jpg
 
Back
Top Bottom