Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Mtu mwenye akili timamu hawezi kulinganisha vitu hivi viwili kwa utofauti uliopo na tena wa wazi. Starehe si sofa. Hata kama ni sofa, zina material yapi? Kuweni watu wazima. Basi ya kichina na bombadier wapi na wapi?
Hayo ni maoni yako! Ahsante kwa kuchangia mkuu
 
Uzi mzima hakuna Lumumba!
RATCO EXPRESS (lumumba one)
72ff969a9cce1a51ddad03ca25be99ba.jpg

1840d76369bb881c7733eed7b1edfbf0.jpg
c304c3419e3c1db7d1915435e245dd3e.jpg
 
Back
Top Bottom