Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Huu ni uongo uliopitiliza kabisa.Huoni aibu kuzusha uongo mkubwa kiasi hiki.unapata nini? mimi nafanya kazi kwenye moja ya wilaya ambapo bomba linapita.Kwa faida yako na wengine wengi uliowapotosha ni kwamba ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea tena kwa kasi kubwa sana.Kampuni kadhaa zimeshafanya kazi mbalimbali na magari yamezagaa kila kona yakiwa na nembo za kampuni.hadi miundombinu ya barabara kutoka barabara kuu kuelekea kwenye bomba yote imeshaanza kufanyiwa kazi. guest housesnyingi zimejaa kwa ajili ya wafanyakazi wa huo mradi..na wana kambi zao pia wanakaa huku ujenzi wa kambi yao rasmi eneo la mradi ukiendelea.Kwa harakaharaka yale magari yao ya wafanyakazi hapa wilayani hayapungui ishirini.
wewe jiandae tu kushuhudia uzinduzi wa bomba la mafuta hapa Tanzania
Watu wenye upeo mdogo kama wewe humuelewi kuwa financing ya mradi na potential funders itakuwa 2019 if all goes well. Kinachofanyika ni Maandalizi tu. Sawa na Stieglers Gorge mkopo wenyewe bado!
 
Watu wenye upeo mdogo kama wewe humuelewi kuwa financing ya mradi na potential funders itakuwa 2019 if all goes well. Kinachofanyika ni Maandalizi tu. Sawa na Stieglers Gorge mkopo wenyewe bado!
Pole sana.Mwenye upeo mdogo ni wewe unayeweza kutunga jambo ambalo hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza anakugundua .muongo.nimekwambia work on progress wewe unasema financing 2019! Kumeshafanyika mambo mengi sana hadi muda huukwa mfano hii wilaya kuna wataalamu zaidi ya mia moja wa fani mbalimbali wapo site.na kizuri zaidi vibarua wanaotumika ni wengi sana na wote ni wenyeji wakaazi wa hapahapa.
 
unless you are a damb. kupitisha bomba TANZANIA is not a choice, but a it's chance. TZ has a natural pull factors for the pipeline to pass through her territory. the risk, the cost, the already present port, free from monsoon winds to name a few, give Tanzania an upper hand for the project.
You can have all those but if your hub 'the leadership' is made up of mud, nothing can sustain. We have very narrow minds in the strategies making.
 
That was an example of a subscription source. There are much more out there. In a few days, this will come out in the mainstream media.

Ahaaa haaa haaa
those are wishful thinking.
 
Hii habari ikiripotiwa kwenye vyombo vyetu vya habari niiteni mbwa!!
 
Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.

Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.

Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Cc:Magonjwa Mtambuka
 
Sisi ni mikurupuko fc

Comp
You can have all those but if your hub 'the leadership' is made up of mud, nothing can sustain. We have very narrow minds in the strategies making.
compounded by ...
 
TWENDE NA MEMBE 2020
#hapakazinabata
#2020twendenamembe
FB_IMG_1543828528329.jpeg
 
Back
Top Bottom