Mleta mada litendee haki jukwaa weka source
Mleta mada litendee haki jukwaa weka source
Ha ha ha sio pepo la Chadema
Watanzania watu wa ajabu sana , kwa hiyo huyo Membe mnamtaka kwa kupitia chama gani?2020 ni Membe
# No for Real.Blasphemy!
Avata hiyo unatafuta ugomvi na Jiwe hapendi kabisa kuionaKweli kabisa
Kwan kile kiporo cha mech tushakicheza au bado na kama tulicheza tokeo vip ni kipigo orKuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.
Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Atakutuhumu kuwa unatumika na mabeberu wanaopinga maendeleo yetu! 😛😛😛Nahisi unaweza kufa na kihoro. Kick ipotee hivhivi? Yaana hapa nilipo nakuwa kama nakuona vile.
Uganda expects pipeline financing deal by June 2019Pole sana.Mwenye upeo mdogo ni wewe unayeweza kutunga jambo ambalo hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza anakugundua .muongo.nimekwambia work on progress wewe unasema financing 2019! Kumeshafanyika mambo mengi sana hadi muda huukwa mfano hii wilaya kuna wataalamu zaidi ya mia moja wa fani mbalimbali wapo site.na kizuri zaidi vibarua wanaotumika ni wengi sana na wote ni wenyeji wakaazi wa hapahapa.
Sijachanganya mr. Tulikubaliana nao tuwafunge ndipo wapitishe bomba laoKiongozi, mbona unachanganya mada.