900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,423
- 11,439
ni magari yanapitapita tu hata hawaelewekiMimi nilijua tu,mana mpaka time hii huku Chongoleani hakuna kitu kinachofanyika
ni magari yanapitapita tu hata hawaelewekiMimi nilijua tu,mana mpaka time hii huku Chongoleani hakuna kitu kinachofanyika
Yani balaa tupuni magari yanapitapita tu hata hawaeleweki
#KaziNaBata 2020Mleta mada litendee haki jukwaa weka source
Taarifa za udaku.kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania.
Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo.
Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania. Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo.
Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Hadi mmeanza kulia kwa kizungu, ha ha ha. Hapa kazi tu.Membe please come and help Tanzanian. Say something
Come and save the declining economy.
ras jeff kapita
Pumba tupu!!Kazi mnayo mmekazana kuutingisha mbuyu kucha kuchwa lakini upo tuu wala hautingishiki wala kuangusha jani!
Team Membe habari yako mkuu .Kazi mnayo mmekazana kuutingisha mbuyu kucha kuchwa lakini upo tuu wala hautingishiki wala kuangusha jani!
Nenda kamvishe nguo mzee wenuKazi mnayo mmekazana kuutingisha mbuyu kucha kuchwa lakini upo tuu wala hautingishiki wala kuangusha jani!
Walikurupuka sasa wameona hasara ya kukurupukaReplying to @JosephBurite
Tanzania’s promised concessions included no transit tax, no value added tax, no corporate income tax, a 20-year tax depreciation holiday and a “free” pipeline corridor.
Zitto Kabwe Ruyagwa retweeted
Joseph Burite
@ JosephBurite 17h
Tanzania has revisited concessions it made when signing the crude oil pipeline deal with Uganda in mid-2017, @UpstreamOnline understands. As a result, Total is hinting the route to Kenya's Lamu port could be revived
Vipi wabongo eehKazi mnayo mmekazana kuutingisha mbuyu kucha kuchwa lakini upo tuu wala hautingishiki wala kuangusha jani!
kumbe wewe ni mwenzetu tu. unashangilia mpaka marudio ya goal slow motion. nimeanza kujua why the mango is bitter .Mleta mada litendee haki jukwaa weka source
Mimi nafikiri wamegeukana.Walikurupuka sasa wameona hasara ya kukurupuka