Jiwe alizuia viwanda vya Uganda kuuza sukari Tanzania, tena heri angezuia kimyakimya....alizuia huku akiporomosha matusi juu!Itakuwa kuna kitu pia wameropoka cha maudhi maana hawachelewi kuropoka
Source nyingine ni by subscription kama Africa Confidential. Hata ukiwekewa link, huwezi kuisoma.
Endelea kufuatilia
Umesikia kuhusu kuongeza eneo la reserve kwenye Bomba? Ni 30 m on both sodes.
Tz na Ug wanataka kuongeza ili kuweka kuweka miradi mingine siku za usoni. Wazungu wamegoma katakata. Na hiyo 30 m on both sides itakuwa chini ya wazungu. Huwezi kufanya lolote bila idhini yao.
Msidhani kama Wakenya wamelala. They are fighting ti get it back to the original plan.
Hizi sarakasi zetu na investors zinawapa confidence ya kufanikiwa maana tumezidi ukigeugeu.
Time will tell. Unganisha ya kwenye madini na gas. Utapata jibu.
Hujui kitu kaa kimyahii taarifa haina uhusiano na Kenya.
Monsoon winds? Seriously?unless you are a damb. kupitisha bomba TANZANIA is not a choice, but a it's chance. TZ has a natural pull factors for the pipeline to pass through her territory. the risk, the cost, the already present port, free from monsoon winds to name a few, give Tanzania an upper hand for the project.
Hata kama umetumwa kuongea shughulisha medula kidogoUmesikia kuhusu kuongeza eneo la reserve kwenye Bomba? Ni 30 m on both sodes.
Tz na Ug wanataka kuongeza ili kuweka kuweka miradi mingine siku za usoni. Wazungu wamegoma katakata. Na hiyo 30 m on both sides itakuwa chini ya wazungu. Huwezi kufanya lolote bila idhini yao.
Msidhani kama Wakenya wamelala. They are fighting ti get it back to the original plan.
Hizi sarakasi zetu na investors zinawapa confidence ya kufanikiwa maana tumezidi ukigeugeu.
Time will tell. Unganisha ya kwenye madini na gas. Utapata jibu.
HahahahaChukua uende ukapikie kangara!
Magufuli for deathMtajichekesha na kucheka wenyewe.# Magufuli for Life
Wewe una laana kuu kutoka kwa Mweny Enzi Mungu mwenyeweMagufuli for death
Huu ni uongo uliopitiliza kabisa.Huoni aibu kuzusha uongo mkubwa kiasi hiki.unapata nini? mimi nafanya kazi kwenye moja ya wilaya ambapo bomba linapita.Kwa faida yako na wengine wengi uliowapotosha ni kwamba ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea tena kwa kasi kubwa sana.Kampuni kadhaa zimeshafanya kazi mbalimbali na magari yamezagaa kila kona yakiwa na nembo za kampuni.hadi miundombinu ya barabara kutoka barabara kuu kuelekea kwenye bomba yote imeshaanza kufanyiwa kazi. guest housesnyingi zimejaa kwa ajili ya wafanyakazi wa huo mradi..na wana kambi zao pia wanakaa huku ujenzi wa kambi yao rasmi eneo la mradi ukiendelea.Kwa harakaharaka yale magari yao ya wafanyakazi hapa wilayani hayapungui ishirini.Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.
Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Tatizo katumwa huyu, alikuja JF kipindi cha uchaguzi sasa anaaanza kampeni za 2020.Huu ni uongo uliopitiliza kabisa.Huoni aibu kuzusha uongo mkubwa kiasi hiki.unapata nini? mimi nafanya kazi kwenye moja ya wilaya ambapo bomba linapita.Kwa faida yako na wengine wengi uliowapotosha ni kwamba ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea tena kwa kasi kubwa sana.Kampuni kadhaa zimeshafanya kazi mbalimbali na magari yamezagaa kila kona yakiwa na nembo za kampuni.hadi miundombinu ya barabara kutoka barabara kuu kuelekea kwenye bomba yote imeshaanza kufanyiwa kazi. guest housesnyingi zimejaa kwa ajili ya wafanyakazi wa huo mradi..na wana kambi zao pia wanakaa huku ujenzi wa kambi yao rasmi eneo la mradi ukiendelea.Kwa harakaharaka yale magari yao ya wafanyakazi hapa wilayani hayapungui ishirini.
wewe jiandae tu kushuhudia uzinduzi wa bomba la mafuta hapa Tanzania
NI KWELI KABISA LINAJENGWA TENA KWA KASI YA AJABU SANA.VIVA MAGUFULI VIVAAA.VIVAA.,VIVA AWAMU YA TANO VIVAAAWeka chanzo cha taarifa yako.
Bomba lilishaanza kujengwa siku nyingi na mdogo yupo kwenye huo mradi
Umeandika kama vile unawasha kikoroboi cha manzese!Weka chanzo cha taarifa yako.
Bomba lilishaanza kujengwa siku nyingi na mdogo yupo kwenye huo mradi
Haiwezekani.Uchaguzi unaweza kuwa mwakani badala 2020 kama wengi wanavyojua , tulieni .