Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Kazi mnayo mmekazana kuutingisha mbuyu kucha kuchwa lakini upo tuu wala hautingishiki wala kuangusha jani!
Yaani kwako huo upuuzi unaoitwa mkataba ni sawa tu ili mradi wahusika ni ndugu zako? Lumumba kuna kitu mnatumia kufikiri badala ya akili.
 
Wenye akili tulilijua hilo mapema
Leo ndo nimezinduka usingizini maana tangu nimesikia kuhusu hili bomba na njia linamopita nikajiuliza faida zake akili yangu ililala kabisa. Naikumbuka TAZAMA, nailinganisha na hii hata kama nataka kuamka nalala tena.
 
Miaka 20? Shamba la bibi... Huu umri wangu nikijulisha na 20 sijui nitakua wapi.
Una umri gani mkuu ..
Kama ushavuka 55 alafu uje uongezee tena hiyo 20 sidhani kama utakuwa ulimwengu huu
 
Nina wasiwasi na source yake ya taarifa. Najua kuna kazi nyingi za utwaaji wa ardhi na mambo mengine yanaendelea. Wathamini wameshapita kwenye mkuza wote sasa ni ulipaji fidia tu.
Achana Na mibwege akina Sibonike mleta mada Na salary slip ya Chadema they are so stupid
 
kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania.
Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo.
Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania. Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo.

Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Hawana hela wanatafuta hela za kununulia korosho
 
kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania.
Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo.
Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania. Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo.

Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Nadhari juzi uhuru kuna kitu kaenda kumpaka huyu mjamaa
 
Huu sio utaratibu mzuri wa kuacha habari zisizokuwa na source. Moderators watusaidie. Kama ni tetesi iwe tetesi, kama kuna source iwekwe.
 
Huu sio utaratibu mzuri wa kuacha habari zisizokuwa na source. Moderators watusaidie. Kama ni tetesi iwe tetesi, kama kuna source iwekwe.

Nahisi unaweza kufa na kihoro. Kick ipotee hivhivi? Yaana hapa nilipo nakuwa kama nakuona vile.
 
Huu sio utaratibu mzuri wa kuacha habari zisizokuwa na source. Moderators watusaidie. Kama ni tetesi iwe tetesi, kama kuna source iwekwe.
Unafikiri huwa hatukuoni unapoandika mahabari yako ya Lumumba ambayo haya source..?? Leo unaulizia source Mwanasheria feki/uchwara.
 
Back
Top Bottom