Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

Haiwezi kuzuia kuhamishia Kenya kama madai mapya ya Tanzania yatakuwa na gharama kubwa kuliko kuhamisha. Hapa kuna mkono wa makumpuni makubwa na watoa fedha.
Fedha za wawekezaji bado mazungumzo yanaendelea. Limezuka suala ka Ardhi pia. Tanzania na Uganda zinataka kuongeza zile mita 30 kila upande ili kuwezesha miradi mingine. Gas bila shaka. Wazungu hawakubali hilo. Wanataka hizo hizo 30 na wamiliki wao.
Kama mzungu yupo lzm lipite Kenya
 
Nacheka sana hii kauli mbiu kazi na bata, na wabongo tunavyopenda starehe, bas twende na membe
 
Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.

Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.

Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.

hizi data zipo kijiweni au nyumbani kwako.maana unapo zungumzia kuhusu bomba wao wameangalia jinsi gani wataweza kukabiliana na kijografia pili usalama.tatu ukaribu wa bandari.
na mradi huu si kwa ajili tanzania bali ni kwa ajili ya uganda.
sisi tutabaki kama kuibeba kwenye kodi.na vitu vidogo.
museveni na jpm ni watu wanao elewana sana
 
Umesikia kuhusu kuongeza eneo la reserve kwenye Bomba? Ni 30 m on both sodes.
Tz na Ug wanataka kuongeza ili kuweka kuweka miradi mingine siku za usoni. Wazungu wamegoma katakata. Na hiyo 30 m on both sides itakuwa chini ya wazungu. Huwezi kufanya lolote bila idhini yao.
Msidhani kama Wakenya wamelala. They are fighting ti get it back to the original plan.

Hizi sarakasi zetu na investors zinawapa confidence ya kufanikiwa maana tumezidi ukigeugeu.

Time will tell. Unganisha ya kwenye madini na gas. Utapata jibu.
Uongezaji ama upunguzaji wa hizo mita 30 unahusiana vipi na Kenya? Manake naona hapa unasema ishu ni kati ya wazungu upande mmoja na Uganda +Tanzania upande mwingine.. Hakuna pande tatu
 
Naambiwa moja ya sheria ilikuwa kilometre 2 kila upande kusiwe na nyumba au shughuli, ina maana ttoka bukoba hadi tanga watu wahame
 
Ukileta habari za uzushi watu hawaulizi hata chanzo, wanakurupuka tu, kwa mwendo huu ndiyo Maana jiwe alisema CCM itatawala milele.
 
sisi tunapungukiwa nini ,harafu we we ni muongo mkubwa Mtukula watu wanalipwa wapishe bomba ,wewe naporojo zako .
Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.

Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.

Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
 
Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.

Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.

Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.

lete taarifa ya uhakika, sahihi na iliyokamilika.
 
Back
Top Bottom