Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu.

Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
 
Leo asubuhi nilikutana na hawa watu mpaka nikataka niweke Uzi humu. Mmoja ana Suzuki Kei mwingine Vitz wanaendesha 30kph asubuhi watu tunawahi kutafuta hela. Mbaya zaidi dual carriageway mmoja Yuko kulia mwingine kushoto wako sambamba!
 
Wanaboa sana kwa kweli sasa ukute kwnye taa sijui huwa wanalala hawa jamaa mpk mnaanza kupiga honiii ndo wanaanza kusogea
 
Leo asubuhi nilikutana na hawa watu mpaka nikataka niweke Uzi humu. Mmoja ana Suzuki Kei mwingine Vitz wanaendesha 30kph asubuhi watu tunawahi kutafuta hela. Mbaya zaidi dual carriageway mmoja Yuko kulia mwingine kushoto wako sambamba!
Mkuu, hawa jamaa ni shida kweli siku hizi.
 
Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu.

Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
Hamza unazingua! Tofaut ya Bolt na Taxify ni ipi?
 
Back
Top Bottom