Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
This issue is likely to cause more strong argumentations on either sides within my imagination zaidi ya hapo nitakua nacomplicate na uelewa wangu, Naona niwe neutral tu.
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Aliyelilea hili likiwa mchicha hadi limekuwa mbuyu umesahau alihitaji kuondoa ukomo madarakani?
 
This issue is likely to cause more strong argumentations on either sides within my imagination zaidi ya hapo nitakua nacomplicate na uelewa wangu, Naona niwe neutral tu.
Sometimes we need binary decision its either 1 or 0 nothing in betweext!
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hii ni point kubwa sana waifanyie kazi
 
Wanawatumia wamachinga kama mtaji wao kisiasa wakati mwisho wa siku wanaiba kura, ni bangi tu.
wanasiasa wote wanawatumia wamachinga ili kuondokana na hilo tuje na muswada wa sheria utakaoweka wazi msimamo kuhusu umachinga.
Maamuzi hayo yana athari kisiasa lakini yapaswa kufikiwa sasa
 
Watanzania wa vijijini wanadhani miji haina sheria za mipango miji, si kweli sheria zipo tangu mkoloni mpaka hii leo sheria zipo ya jinsi ya majengo nyumba za wakaazi , biashara na shughuli zao zinavyopaswa kupangwa. Wakuja mijini wakiona kibaraza wao wanaona ni fursa na kuwaona waliowatangulia mjini au wazawa wa mjini ni wajinga kuziacha hizo nafasi kuwa wazi.

Prof. John Lupala akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, Na. 8 ya Mwaka 2017.

Prof. John Lupala, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wanachi kuzingatia Sheria Na. 8 ya mwaka 2007 kuepuka adha zinazotokana na kutozingatia sheria hiyo.

Akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, namba 8 ya mwaka 2007; Prof. Lupala alisema; Sheria imetungwa ili kutoa muongozo namna ya kupanga miji nchini. Prof. Lupala amefafanua maeneo matatu ya Mipango katika sheria hiyo.

Mipango Kabambe/ General Planning; Mipango ambayo huandaliwa kuongoza ukuaji wa miji kwa muda wa miaka 20. Ambapo sheria inasisitiza ushiriki wa maoni ya Wananchi.

Mipango Kina; Mgawanyo wa viwanja au shamba unaofanywa katika eneo fulani, hutakiwa kuandaliwa kulingana na taratibu za viwango vya upangaji ndani ya miji, alieleza hata kama mpangaji binafsi anatumika ni lazima viwango vya kisheria vizingatiwe.

Urasimishaji; Unalenga kutambua miliki za watu, kutengeneza viwanja vya milki za maeneo yao na kupangilia miji kwa kuweka huduma za msingi au miundombinu ya msingi kama; maji, barabara n.k.

Pro.Lupala alisema iwapo mwananchi hatazingatia taratibu za uendelezaji Miji bila kupata kibali cha ujenzi, Mamlaka za Miji huchukua hatua kwa Kusimamisha ujenzi au kubomoa.

Wananchi hawana budi kushiriki katika maoni wakati wa upangaji miji na kutojenga katika maeneo hatarishi, ya hifadhi au oevu.

Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Prof. John Lupala akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, Na. 8 ya Mwaka 2017.

source : ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Leo umeamua kuja na ID yako ya siku zote🤣🤣
 
wanasiasa wote wanawatumia wamachinga ili kuondokana na hilo tuje na muswada wa sheria utakaoweka wazi msimamo kuhusu umachinga.
Maamuzi hayo yana athari kisiasa lakini yapaswa kufikiwa sasa
ccm mmefeli wapi na wamachinga?? wapiga kura wenu
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Biashara za barabarani Hadi ULAYA zipo tatizo ni utaratibu
 
wanasiasa wote wanawatumia wamachinga ili kuondokana na hilo tuje na muswada wa sheria utakaoweka wazi msimamo kuhusu umachinga.
Maamuzi hayo yana athari kisiasa lakini yapaswa kufikiwa sasa

Huyu hapa ni wa kulaumiwa kwa kadhia hii:

Alikuwa na nia ya kudumu madarakani wala si kuwasaidia lolote machinga.
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Leo umetema madini hadi nimekupa like!

Hakuna jamii inayoweza kuishi bila taratibu
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna sheria iliyowafanikiwa tza 100% sheria zote ni fursa kwa walinda sheria
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hongera, leo nimekusoma na mada inayoeleweka.

ILA: "SAD AND PAINFUL, BUT TRUE", kama unapenda kumalizia hivyo!

Nadhani watu kidogo akili zinaanza kuwarudia kidogo kidogo.
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Haa umenikumbusha nitakapokuwa kibogoyo.Swali fikirishi, je ,wabunge wetu wanao uwezo kutambua matokeo hasi ama chana ya hizi sheria wanazozisemea ndiyoooo!
 
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wewe uliunga mkono upuuzi wote wa awamu ya 5 , hakuna atakayekuamini , nini kimekupata sasa ?
 
Back
Top Bottom